UHARAMU WA NYAMA YA NGURUWE NI
BAYANA YA KISAYANSI
Mwenyezi Mungu Amesema : “ Sema; “ Sioni katika yale niliyofunuliwa mimi kitu
kilichoharamishwa kwa mlaji kukila isipokuwa kiwe ni mzoga au damu inayomwagika au
nyama ya nguruwe, kwani hiyo ni uchafu; au kile ambacho kwa kuhalifiwa amri ya Mwenyezi
Mungu kimechinjwa kwa jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyelazimika kula
pasipo kupenda wala kuchupa mipaka, basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe na
Mwingi wa k urehemu.” Aya ya 145, Suratul An-aam.
UHAKIKA WA KISAYANSI
Imekuja elimu kudiriki baadhi ya mambo yaliyokatazwa na sheria ya Kiislamu
iliyohifadhiwa na wafuasi wake karne kwa karne kabla ya kugunduliwa kwa darubini na kwa
mpangilio huo huo : Mzoga ambao bakteria hukua ndani yake, damu ambayo bakteria hukua
ndani yake kwa kasi kubwa zaidi, hasa ikiwa ni nyingi, na mwisho nguruwe ambapo katika
mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa. Mwenyezi
Mungu Amesema : “ Sema; “ Sioni katika yale niliyofunuliwa mimi kitu kilichoharamishwa
kwa mlaji kukila isipokuwa kiwe ni mzoga au damu inayomwagika au nyama ya nguruwe,
kwani hiyo ni uchafu; au kile ambacho kwa kuhalifiwa amri ya Mwenyezi Mungu
kimechinjwa kwa jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyelazimika kula pasipo
kupenda wala kuchupa mipaka, basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe na Mwingi
wa kurehemu.” Aya ya 145, Suratul An-aam.
UHAKIKA WA KISAYANSI
Imekuja elimu kudiriki baadhi ya mambo yaliyokatazwa na sheria ya Kiislamu
iliyohifadhiwa na wafuasi wake karne kwa karne kabla ya kugunduliwa kwa darubini na kwa
mpangilio huo huo : Mzoga ambao bakteria hukua ndani yake, damu ambayo bakteria hukua
ndani yake kwa kasi kubwa zaidi, hasa ikiwa ni nyingi, na mwisho nguruwe ambapo katika
mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa. Mdomo ni
maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama. Baadhi
yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo
Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe
(Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu (
Cysticercosis & Influenza) na wanyama. Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana
kwa wingi nchini China. Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na
wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea
katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo
panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya
uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula
nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela. Kwa kula
minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium
Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo
yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka
kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza. Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni
kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa. Minyoo hukua
kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na
kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa
wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama
pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu
moja iwapo utakula Cysticercosis. Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu,
hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia
kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake. Maradhi haya
hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye
madhara madogo kabisa Taenia Saginata ya ng’ombe.
UPANDE WA MIUJIZA :
Nguruwe ni mwenye tabia mbaya. Kuchukiwa na wasio na dini kumepelekea
kumhesabu kuwa ni muuaji wa alama za kheri. Visa vya kale vimehadithia kuwa nguruwe
alimuua Houras kwa Wamisri wa kale na Adun kwa Wakanaan na Adonis kwa Wagiriki na
Atis katika Asia ndogo. Wafuga nguruwe katika Misri ya kale, walihesabiwa kuwa ni watu
walioijua vyema kazi yao. Mchunga nguruwe haingii kwenye mfumo na wala haoi isipokuwa
wanawake mfano wake. Na mwenye kumgusa nguruwe ni juu yake kuoga. Nguruwe ni
haramu kwa watu wa kitabu ingawa wamekwenda kinyume. Lakini Qurani imetoa sababu ya
kukatazwa kula nyama yake kwa kauli yake Mwenyezi Mungu “ Kwani hiyo (nyama) ni
uchafu”. Neno uchafu ni neno lenye kukusanya maana nyingi ikiwemo uchafu, najisi, yenye
maudhi, na yenye madhara. Ukatazo wa kula nyama ya nguruwe japo kidogo kama ni
chakula, umekuja katika sehemu tatu nyengine. Kwanza kauli yake Mwenyezi Mungu
“Amekuharamishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa katika
kuchinjwa kwake jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu”. Lakini aliyefikwa na dharura (ya kula
vitu hivi) bila kutamani wala kupita kiasi, basi yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni
Mwingi wa kusamehe na Mwingi wa kurehemu.” Suratul Al Bakarah aya ya 173. Pili kauli
yake Mwenyezi Mungu katika aya ya 115 ya Suratul Nahl, “ Amekuharamishieni nyamafu tu
(mzoga) na damu na nyama ya nguruwe na (mnyama) achinjwae kwa jina lisilokuwa la
Mwenyezi Mungu. Lakini anayekosa budi (anayeshurutishwa) bila kuasi wala kuruka mpaka,
basi (Mwenyezi Mungu atamsamehe); hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe na
Mwingi wa kurehemu.” Tatu ni kauli yake Mwenyezi Mungu katika aya ya 3 ya Suratul
Maidah, “ Mmeharamishiwa nyamafu na damu na nyama ya nguruwe, na kinyama
kilichochinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na kilichokufa kwa kusongeka koo, na
kilichokufa kwa kupigwa, na kilichokufa kwa kuanguka, na kilichokufa kwa kupigwa pembe
(na mwengine) na alichokila mnyama (kikafa), ila mkiwahi kukichinja (kabla hakijafa). Na (pia
mmeharamishiwa) kilichochinjwa panapofanyiwa ibada isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu
(kama mizimuni). Na ni (haramu kwenu) kutaka kujua siri kwa kuagua kwa maboa (na yaliyo
kama hayo). Hayo yote ni maasiya.” Uharamu umekusanya vyote vinavyoliwa kama mafuta.
Kuharamishwa peke yake kwa Mayahudi kunathibitisha kwamba asili ni kuingia kwake
katika nyama kama chakula. Mwenyezi Mungu Anasema, “Na kwa wale walio Mayahudi,
Tuliharamisha kila (mnyama) mwenye kucha. Na katika ng’ombe na kondoo na mbuzi,
Tukawaharamishia shahamu (mafuta) yao isipokuwa ile iliyobeba migongo yake (wanyama
hao) au (iliyobeba) matumbo au ile iliyogandamana na mifupa. Tuliwalipa hivyo kwa sababu
ya uasi wao. Na bila shaka sisi ndio Wakweli.” Kuharamishwa kwa nyama kunaharamisha
mafuta hata kama ni chakula cha mnyama anayeliwa na binadamu. Siku ilipoteremka
Qurani, hakuna mtu aliyekuwa akijua madhara ya nguruwe. Kwa hiyo inatoka wapi kinga
hiyo iliyokuja kwa sheria ikiwa haikuteremshwa kwa ujuzi wa Mjuzi na Mwenye hekima!
Mwenyezi Mungu Mweza Anasema, “ Na watu wako wameikadhibisha chini Qurani hali hiyo
ni haki. Sema: “Mimi si mlinzi juu yenu”. Kila khabari (iliyotajwa hapa) ina wakati wake
(maalumu wa kufika). Na hivi karibuni mtajua (haya).”