Nakala

NYOTA ZINAZOREJEA NYUMA


ZINAZOKWENDA NA KUJIFICHA


Mwenyezi Mungu Anasema, “ Basi Naapa kwa nyota zinazorejea nyuma. Zinazokwenda,


kisha zikajificha.” Aya za 15 na 16 za Suratul At Takwyr.


UKWELI WA KISAYANSI:


Umri wa uzee katika maisha ya nyota kubwa ni kama tundu nyeusi (Black holes), kundi


kubwa zaidi kuliko jua kwa mara tano zaidi. Tundu hizo nyeusi zinasifika kwa ukubwa wa


eneo na mvuto mkubwa mno, kwani hakuna kitu kinachokwepa kabisa hata mwangaza


wenyewe ambao kasi yake ni ( kiasi cha kilometa 300,000 kwa sekunde). Toka hapa basi


limekuja jina lake lenye kuonyesha kuwepo kwa maeneo kama tundu katika ukurasa wa


mbingu uliopotea kila kitu na kuwa tundu nyingi. Mwenyezi Mungu Anasema, “ Basi Naapa


kwa nyota zinazorejea nyuma. Zinazokwenda, kisha zikajificha.” Aya za 15 na 16 za Suratul At


Takwyr.


UKWELI WA KISAYANSI:


Umri wa uzee katika maisha ya nyota kubwa ni kama tundu nyeusi (Black holes), kundi


kubwa zaidi kuliko jua kwa mara tano zaidi. Tundu hizo nyeusi zinasifika kwa ukubwa wa


eneo na mvuto mkubwa mno, kwani hakuna kitu kinachokwepa kabisa hata mwangaza


wenyewe ambao kasi yake ni ( kiasi cha kilometa 300,000 kwa sekunde). Toka hapa basi


limekuja jina lake lenye kuonyesha kuwepo kwa maeneo kama tundu katika ukurasa wa


mbingu uliopotea kila kitu na kuwa tundu nyingi. Nyota hizi kubwa zenye kupotea au


kuonekana, hufagia kila kitu kinachozikaribia. Kwa hiyo, yametambulishwa hayo na hesabu


zilizoitwa fagio kubwa (Giant vacuum – Cleaners), nadharia iliyowekwa na Karl Schwars Child


mwaka 1916. Tokea mwaka 1971, Robert Oppenheimer amezidisha uwezekano wa kuwepo


kwake kwa kuthibisha. Wataalamu wana imani kwamba kundi letu la nyota kwa mfano ni


kama tundu nyeusi.


UPANDE WA MIUJIZA:


Kiapo kimekanusha katika mtindo wa Qurani Tukufu kwa ajili ya kuthibitisha kama


kwamba Mwenyezi Mungu Anasema kuwa hauna haja ya kiapo kwa hoja hizo zilizo bayana.


Kiapo kimetajwa katika kuonyesha dalili ya kuwa Qurani Tukufu ni Wahyi wa Mwenyezi


Mungu. Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Basi naapa kwa nyota zinazorejea nyuma.


Zinazokwenda kisha zikajificha. Na kwa usiku uingiapo. Na kwa asubuhi inapopambazuka.


Kwa hakika hii (Qurani) ni kauli (aliyokuja nayo) Mjumbe mtukufu (Jibrili).” Aya za 15 – 19 za


Suratul At Takwyr. Ni zenye kuonyesha utukufu wa kiapo na umuhimu wake katika kujulisha


chenye kuapiwa. Na hapa kimetajwa kwa sifa ambazo zinakutana sawasawa na sifa za


kinachoitwa tundu nyeusi. Katika asili yake, ni nyota zinazokwenda katika mizunguko yake.


Kwa hakika ni nyota kubwa ambazo mwisho wa umri wake zimeporomoka, ikanywea mada


yake, zikajificha na hazidhihirishi mwangaza wowote. Sababu ya hayo, ni ukubwa wa mvuto


wake ambao unazifanya zifagie kila kitu kilicho pembeni yake katika njia yake na kukimeza


kwa hiyo huzidi ukubwa wake na nguvu yake. Hapa unadhihiri wasfu wake wa


(zinazokwenda kisha zikajificha) au mafagio makubwa. Ujuzi wa sifa hizo ni mpya kwa hiyo


kutajwa kwake katika Qurani kwa maneno yenye kuzijulisha kwa kina, ni katika kuthibitisha


wahyi wake wa dalili tosha kuwa ni maneno ya Mwenyezi Mungu Muumba.





HISIA ZA MAUMIVU


. Mwenyezi Mungu Amesema, “ Hakika wale waliozikataa Aya zetu, Tutawaingiza katika moto Kila ngozi zao zitakapowiva, Tutawabadilishia ngozi nyengine badala ya zile; ili wawe wanaonja (uchungu wa) adhabu (maisha). Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na .Mwenye hekima.” Aya ya 56 ya Suratul Nisaa shwa maji yachemkayo yatakayokata Na wakanywe Pia Mwenyezi Mungu amesema, “ .chango zao.” Aya ya 15 ya Suratut Muhammad :UKWELI WA KISAYANSI Kabla ya gunduzi za kisayansi, kulikuwa na imani kuwa mwili wote ni wenye kuhisi ngozi ambazo maumivu. Haikuwa wazi kwa yeyote kuwa kuna mwisho wa nava katikana maumivu, hadi ulipogunduliwa mchango wa mwisho wa zinahusika na uchukuzi wa hisiaMwenyezi Mungu Amesema, “ Hakika wale waliozikataa Aya zetu, nava katika ngozi, zi nyengine Tutawaingiza katika moto. Kila ngozi zao zitakapowiva, Tutawabadilishia ngobadala ya zile; ili wawe wanaonja (uchungu wa) adhabu (maisha). Hakika Mwenyezi Mungu .ni Mwenye nguvu na Mwenye hekima.” Aya ya 56 ya Suratul Nisaa Na wakanyweshwa maji yachemkayo yatakayokata Pia Mwenyezi Mungu amesema, “ .ya 15 ya Suratut Muhammadchango zao.” Aya :UKWELI WA KISAYANSI Kabla ya gunduzi za kisayansi, kulikuwa na imani kuwa mwili wote ni wenye kuhisi maumivu. Haikuwa wazi kwa yeyote kuwa kuna mwisho wa nava katika ngozi ambazo aumivu, hadi ulipogunduliwa mchango wa mwisho wa na m zinahusika na uchukuzi wa hisianacho ni kiungo muhimu mno kwani kina idadi kubwa ya nava. Dk. Head nava katika ngozi,)ameigawa hisia ya ngozi katika makundi mawili : Hisia nyeti (EPICRITIC na tofauti ndogo ya joto, na hisia kuu inayohusika na kupambanua hisia ya mguso mdogo(PROTOPATHIC) inayohusika na maumivu na kiwango kikubwa cha joto. Na kila hisia kati ya hizo mbili, inafanya kazi kwa aina tofauti ya sehemu za nava . Pia kuna seli maalumu mu ya mazingira (RECEPTORS). Nazo inayohusika na ugunduzi wa mabadiliko maaluzimegawika katika sehemu nne : Seli zinazoathirika na mazingira ya nje (EXTEROCEPTORS). Hizi zinahusika na hisia ya kugusa na zinakusanya vijisehemu (MEISSNERS CORPUSCLES) na na mwisho wa (BULBES ERAUSE END) vijisehemu (MERKELS CORPUSCLES). Seli za nyweleinayohusika na baridi. Silinda ya Ruffini, (RUFFINI’S CYLINDERS) inayohusika na joto. Mwisho wa nava zenye kuchukua maumivu. Ngozi ni sehemu tajiri mno kwa mwisho wa nava zenye .kuchukua maumivu na joto alamu wa uchunguzi wa mwili wamethibitisha kuwa mwenye kuungua ngozi Pia wata kutokana na kuharibika kwa mwisho wa nava kikamilifu, basi hahisi maumivu makubwawenye kuchukua maumivu, kinyume na kuungua kidogo (kiwango cha pili), kwani maumivu tokana na kuwa wazi kwa mwisho wa nava. Pia wataalamu wa huwa makali zaidi kuuchunguzi wa mwili wamethibitisha kuwa michango midogo kwa ndani, haina chenye kupokea hisia wakati ambapo zipo kwa wingi kwenye eneo la kuta na eneo la nje la matumbo


una kiasi kikubwa cha vijisehemu (vinavyofikia cubic cm makubwa. Na katika eneo hilo, k20400) ambavyo ni sawa na kiwango cha ngozi ya nje ya mwili. Pia makutanio ya maumivu (RECEPTORS) na sehemu nyengine za hisia zilizopo katika michango ya tumbo, yanafanana .ina zile zilizopo katika ngoz :UPANDE WA MIUJIZA Mwenyezi Mungu Amebainisha kuwa ngozi ndipo mahali pa adhabu. Akaunganisha baina (a) katika aya ya kwanza na kwamba ngozi inapowiva na kuungua na kupoteza ya ngozi na hisiamivu ya adhabu. Basi kubadilika ya mau mpangilio wake na kazi yake, basi huondoka hisia –kwa ngozi mpya iliyokamilika mpangilio wake na iliyotimia kazi yake, mwisho wa nava hutekeleza mchango wake na kazi yake, –unaohusika na hisia ya joto na maumivu ya moto enyezi Mungu Mtukufu aonje adhabu ya ili kumfanya mtu huyu kafiri anayezikataa aya za Mw.kuungua kwa moto Sayansi mapya imegundua kuwa mwisho wa nava unaohusika na hisia ya joto na maumivu kabla ya ya kuungua, hazipo kwa wingi isipokuwa kwenye ngozi. Na hakuna hata mtu mmojauendelea kwa sayansi ya uchunguzi wa mwili, ambaye kugunduliwa kwa darubini na kangejua ukweli huu ulioashiriwa na Qurani Tukufu tokea karne kumi na nne. Kama hivi .Mwenyezi Mungu unajitokeza wazi muujiza na kudhihiri dalili za ya maji yachemkayo yakatayo Qurani Tukufu imewakamia makafiri kwa adhabu (b)chango zao katika aya ya pili. Imedhihirika siri ya makamio hayo mwishoni kwa kugundua kuwa chango haziathiriki na joto, lakini zikikatika, hutoka maji yanayochemka na kuingia na maumivu na kwenye mwisho wa kwenye eneo lenye kiasi kikubwa cha mapokezi ya joto.nava na kufikisha kwenye ubongo. Na wakati huo mtu huhisi kiwango cha juu cha joto Kama hivi inadhirika wazi miujiza ya kisayansi katika hisia ya maumivu kwa kukubaliana baina .ya ukweli wa tiba na miujiza ya Qurani Tukufu





MAWINGU YANAYOLETA MVUA


ya ya 11 ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema: “ Naapa kwa mawingu yanayoleta mvua.” A.Suratul Tariq :UHAKIKA WA KISAYANSI .katika hali ya mvua Wingu wa juu unayarejesha maji yaliyogeuka kuwa mvuke 1. .Wingu wa juu unarejesha ardhini vimondo vingi na kuvirejesha kwenye anga la nje 2. .Wingu wa juu unairejesha mionzi yenye kuua viumbe hai na kuisukuma mbali na ardhi 3. Wingu wa juu unaakisi mawimbi mafupi na ya kati ya redio kuyarejesha ardhini. Kwa 4. e. Ni wenye hiyo tunaweza kuihesabu anga kama kioo chenye kuakisi miale na sumaku umemkuakisi au kurejesha mawimbi yasiyotumia waya na televisheni yanayorushwa angani na ambayo hurejeshwa baada ya kurushwa angani baada ya kuelekezwa kwenye tabaka za juu. heni kupitia Huu ndio msingi wa kazi ya vyombo vya kurusha matangazo ya idhaa na televis.pande mbali mbali za ardhi Mwenyezi Mungu Mtukufu Wingu wa juu unafanana na kioo chenye kuakisi joto 5. .Amesema: “ Naapa kwa mawingu yanayoleta mvua.” Aya ya 11 ya Suratul Tariq :UHAKIKA WA KISAYANSI .katika hali ya mvua a maji yaliyogeuka kuwa mvukeWingu wa juu unayarejesh 1. .Wingu wa juu unarejesha ardhini vimondo vingi na kuvirejesha kwenye anga la nje 2. .Wingu wa juu unairejesha mionzi yenye kuua viumbe hai na kuisukuma mbali na ardhi 3. unaakisi mawimbi mafupi na ya kati ya redio kuyarejesha ardhini. Kwa Wingu wa juu 4. hiyo tunaweza kuihesabu anga kama kioo chenye kuakisi miale na sumaku umeme. Ni wenye kuakisi au kurejesha mawimbi yasiyotumia waya na televisheni yanayorushwa angani na baada ya kurushwa angani baada ya kuelekezwa kwenye tabaka za juu. ambayo hurejeshwaHuu ndio msingi wa kazi ya vyombo vya kurusha matangazo ya idhaa na televisheni kupitia .pande mbali mbali za ardhi zi kama ni ngao ya Wingu wa juu unafanana na kioo chenye kuakisi joto. Unafanya ka 5. kujikinga na joto la jua wakati wa mchana. Pia unafanya kazi kama ni pazia wakati wa usiku, huzuia joto la ardhi lisisambaratike. Lau uwiano huu ukiteteruka, basi itakuwa ni vigumu .kali wakati wa usikukuishi katika ardhi, ama kwa joto kali mchana au baridi :UPANDE WA MIUJIZA Aya Tukufu ya Qurani, “Naapa kwa mawingu yanayoleta mvua.” Inaashiria kuwa sifa muhimu ya wingu wenye kuizunguka ardhi ndio wenye kuleta mvua . Watu wa kale yansi mpya imekuja kuimarisha maana ya wamefahamu kuwa ni wenye kuashiria mvua tu. Sa


kuleta mvua katika kusifia anga na kukusanya hali nyingi ambazo binadamu hakuzijua hapo awali. Neno kurejesha maana yake ni kukirejesha kitu sehemu kilipokuwa mwanzo. Maana imbuko lake mfano wa kurudisha mwangwi. yake ni kurejesha kitu katika muelekeo wa chWingu hapa maana yake ni anga la ardhi na maelezo yana maana ya kuwepo pazia lenye kuuzunguka ambalo huirejeshea ardhi kila lenye manufaa na kufukuza kila lenye madhara. Na bila ina maana zaidi ya kushuka mvua.Imebainika kuwa neno kurejesha (kuleta mvua) lya sifa hiyo ya anga, basi maisha yasingekaa sawa katika ardhi. Na kwa hii Qurani Tukufu .imekusanya pamoja kwa neno moja sifa zote za anga zilizogunduliwa na sayansi mpya





KUINGILIANA NA KUPAMBANUKA KWA MIKUSANYIKO YA BAHARI


Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Anazikutanisha bahari mbili (ya maji ya chumvi na ya maji matamu). Baina yao kuna kizuwizi, haziingiliani (zikaharibiana kabisa kabisa). Basi ipi si neema yake)? Katika hizo bahari mbili, katika neema za Mola wenu mnayoikanusha (kuwa ”hutoka lulu na marijani. :UHAKIKA WA KISAYANSI Haikuwa ikijulikana kuwa bahari ya chumvi ni tofauti katika mpangilio na wala sio lenger bahari moja iliyochanganyika isipokuwa mwaka 1873 wakati msafara wa Chal ulipozunguka katika bahari kwa miaka mitatu. Na katika mwaka 1942, Bodi ya Kimataifa Ya Miujiza Ya Kisayansi Ya Qurani Na sunna .Risala yetu: Kudhihirisha miujiza ya kisayansi Na kuihakiki na kuichapisha aLugh Wasiliana Nasi Kuhusu Bodi Muhtasari Wa Utafiti Ukurasa Kuu INA KUPAMBANUKA KWA MIKUSANYIKO YA BAHAR KUINGILIANA Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Anazikutanisha bahari mbili (ya maji ya chumvi na ya aziingiliani (zikaharibiana kabisa kabisa). Basi ipi maji matamu). Baina yao kuna kizuwizi, hkatika neema za Mola wenu mnayoikanusha (kuwa si neema yake)? Katika hizo bahari mbili, ”hutoka lulu na marijani. :UHAKIKA WA KISAYANSI tika mpangilio na wala sio Haikuwa ikijulikana kuwa bahari ya chumvi ni tofauti ka bahari moja iliyochanganyika isipokuwa mwaka 1873 wakati msafara wa Challenger ulipozunguka katika bahari kwa miaka mitatu. Na katika mwaka 1942, kwa mara ya kwanza a mamia ya vituo vya palidhihiri matokeo ya tafiti ndefu yaliyopatikana kwa kuanzishwbaharini katika bahari. Wakakuta kuwa bahari ya Atlantic kwa mfano, haifanyiki na bahari moja, bali inafanyika kwa bahari tofauti. Ni bahari moja inayotafautiana mikusanyiko ya maji be hai vya majini na kiasi cha katika viwango vya joto, ukubwa wa eneo, chumvi, viumkuyayuka kwa oksijeni. Hii ni katika bahari moja, mbali na bahari mbili zenye kutofautiana kama bahari ya Mediterranian na bahari ya Sham (Red Sea), bahari ya Mediterranian na a ghuba ya Aden. Pia zinakutana katika bahari ya Atlantic, na bahari ya Sham (Red Sea) nmkondo maalumu. Katika mwaka 1942, kwa mara ya kwanza, imejulikana kuwa kuna bahari zenye kukutana maji yake, lakini baadhi yake zinatofautiana na nyengine katika sifa. Maji ya po katika harakati zinazoendelea zinazoyafanya bahari si yenye kutulia, lakini daima yamakundi ya maji kuingiliana baina yao lakini kila maji huendelea kuhodhi sifa zake katika kiasi cha chumvi, joto, wingi, kupwa na kujaa. Mawimbi, kasi za maji na pepo, vyote hivyo ni ya maji ya bahari daima kuwa katika harakati, lakini pamoja na vitendakazi vyenye kuyafanhayo haichanaganyiki mikusanyiko ya bahari yenye kutofautiana sifa. Kumekuwa na kizuwizi


.chenye kutenganisha baina ya bahari mbili zenye kupakana katika maji au katika mkondo :AUPANDE WA MIUJIZ Aya tukufu zinazungumzia juu ya bahari mbili za chumvi zilizopakana zilizoingiliana na kila moja inahifadhi sifa zake, na baina yake kumekuwa na kizuwizi chenye kuzuwia kuwa ni bahari zisichanganyike. Kutajwa kwa lulu na marijani katika aya tukufu, ni dalili yambili za chumvi, kwani madini hizo hazipatikani isipokuwa kwenye bahari za chumvi, jambo ambalo linamaanisha kuwa mazungumzo yanahusu maji ya bahari za chumvi ambazo inayopakana na zinaonekana kuwa ni moja zenye sifa moja, lakini kwa hakika ni mikusanyiko.yenye sifa tofauti Bahari za chumvi zinazopakana kwa macho ya kawaida zinaonekana kama ni ni mikusanyiko yenye sifa mkusanyiko mmoja wa maji yenye sifa moja, lakini kwa hakikaahamika hayo isipokuwa kwa kutumia tofauti katika chumvi, joto na katika wingi. Hayakufteknolojia mpya. Pamoja na hayo, Qurani imezitaja sifa hizo ikajulisha kutofautiana kila bahari mbili za chumvi zenye kupakana. Kwani ni zenye kuingiliana baina yao daima na achozuwia maji yao yasichanganyike. Hivyo zinachanganyika, na baina yao kuna kizuwizi kin.hii sio dalili ya wazi kuwa Qurani ni maneno ya Mwenyezi Mungu ! Tafsili: Kiarabu Kifarsi Kiurdu Kituruki Kispani Kijerumani Kifaransa Kiingereza aausKih )2007-(1428 Bodi ya Kimataifa Ya Miujiza Ya Kisayansi Ya Qurani Na sunna


 



Machapisho ya hivi karibuni

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI

KWANINI UISLAMU? UZU ...

KWANINI UISLAMU? UZURI NA FAIDA ZA UISLAMU