Tovuti hii ni ya watu wa imani mbali mbali ambao wanatafuta kuelewa Uislamu na Waislamu. Inayo vitabu vingi vya kufundishia, video, audios na makala kuhusu huduma mbali mbali za Uislamu.
Na yenye vituo vya Kiislamu kote ulimwenguni
Ikiwa ungetaka kuzungumza na mtu ili ujifunze zaidi juu ya Uisilamu na maswali yako yajibiwe kibinafsi - bila shinikizo - tupigie kwa kubonyeza kitufe cha WhatsApp hapa chini. Unaweza pia kututumia barua pepe au kutuma ujumbe