Nakala

KUUMBWA MTOTO KATIKA MAUMBO TOFAUTI


ali Mwenyezi Mungu Amesema : “Mmekuwaje hamuweki Heshima ya Mwenyezi Mungu. Na h .14 Suratul Nuh)-ya kuwa Amekuumbeni namna baada ya namna?”. (Aya 13 :UHAKIKA WA KISAYANSI Mtu wa kwanza kumsoma mtoto wa kuku kwa kutumia lensi ndogo ni Harvey katika nisha siku za mwaka 1651. Pia alidurusu vijusi vya mbawala. Kutokana na ugumu wa kuaiMwenyezi Mungu Amesema : “Mmekuwaje hamuweki Heshima ya kwanza za uja uzito 14 -Mwenyezi Mungu. Na hali ya kuwa Amekuumbeni namna baada ya namna?”. (Aya 13.Suratul Nuh) :UHAKIKA WA KISAYANSI wa kutumia lensi ndogo ni Harvey katika Mtu wa kwanza kumsoma mtoto wa kuku k mwaka 1651. Pia alidurusu vijusi vya mbawala. Kutokana na ugumu wa kuainisha siku za kwanza za uja uzito, akajua kuwa mtoto si chengine isipokuwa ni takataka za mfuko wa a ndogo ndogo katika mayai ya uzazi uzazi. Katika mwaka 1672, Graaf akagundua kokwambazo hadi leo zinaitwa kwa jina lake “Graafian Follicles” na akakuta vijiwe vidogo katika tumbo la uzazi la sungura vyenye kufanana na kokwa ndogo ndogo. Akajua kuwa mtoto sio a na mayai ya uzazi. Muundo huo wa ndani kabisa takataka za tumbo la uzazi lakini anatokanalioujua Graaf si chengine isipokuwa ni vitundu vidogo katika koja la seli za awali za mtoto Malpighi alikuta kijusi katika yai la kuku akadhani kuwa (Blastocysts). Katika mwaka 1675,utubisha toka kwa jogoo. Akadhania kuwa ni lenye kiumbe kidogo halihitaji vitu vya kurchenye kukua na wala hakiumbiki katika maumbo tofauti. Kwa kutumia darubini iliyoendelea kwa mara ya zaidi, Hamm na Leeuwenhoek, waligundua wadudu wa manii ya binaadamumwaka 1677, lakini hawakuelewa ni ipi kazi yake hasa katika uzazi. Pia kwanza katika historia bila ya maumbo walidhani kuwa yana binaadamu mdogo anayekua katika tumbo la uzazimaalum ya uumbaji. Katika mwaka 1759, Wolff alikisia kuwa ukuaji wa mtoto unatokana na a uumbaji lisilo na umbo la kiumbe kilichokamilika. Katika mwaka 1775, koja la awali lulimalizika mjadala kuhusu dhana ya uumbaji uliokamilika na ukafikiwa ukweli wa uumbaji katika maumbo. Majaribio ya Spallanzani kwa mbwa, yakathibitisha umuhimu wa wadudu wa a zoezi la uumbaji. Kabla ya hapo, ilitanda fikra ya kuwa wadudu wa manii ni manii katikviumbe vya ajabu vinavyoishi kwa kutegemea viumbe vyengine, kwa hiyo wamepewa jina la wanyama wa manii (Semen Animals). Katika mwaka 1827, baada ya kupita miaka 150 ya Von Baer alikuta viyai vidogo katika vijiwe vya ovari ya wadudu wa manii, ugunduzi wa1839, Schleiden na Schwann walithibitisha kuwa uumbikaji wa mbwa mmoja. Katika mwakamwili wa binadamu unatokana na sehemu hai muhimu za uumbaji na matokeo yake, na kaitwa Seli . Baadae ikawa ni wepesi kufahamu ukweli wa uumbikaji wa sehemu hizo zibinadamu katika maumbo, kuanzia seli iliyorutubishwa inayotokana na muungano wa manii .na ovari :UPANDE WA MIUJIZA bu wa dhana Aya tukufu inajuilisha kuwa binadamu haumbwi ghafla kwa muji


iliyokuwepo hadi karne kabla ya iliyopita, enzi za Aresto kabla ya kuzaliwa kwa Kristo, bali anaumbwa katika maumbo yenye makadirio thabiti yanayomkusanya kila mtu licha ya .kutofautina kwa makabila na kuambatana kwa vizazi katika namna ya a sayansi ya kijusi, inashuhudia kugongana kwa wataalamuHistoria y uumbaji wa binaadamu wakati ambapo Qurani tukufu tokea karne ya kumi na saba, inatangaza kuwa binadamu hawi ghafla, bali anakuwa kupitia maumbo yaliyokisiwa kama go kwa mujibu wa muundo uliowekwa. Sudfa haitafsiri maumbo ulivyo ujenzi wa jenyaliyokisiwa, lakini inashuhudia hekima, kusudio na Uwezo wa Mwenyezi Mungu na elimu yake ya vinavyomzunguka na uzuri wa uumbaji Wake. Ama umoja wa maandalizi, mipango ya wingi wa makabila na kuambatana kwa vizazi, basi na uthabiti wa maumbo, licha .tunahakikisha upweke wa Muumba Mtukufu Fikra ya Aresto ya kuumbwa kijusi kutokana na damu ya hedhi, iliendelea kuwepo hadi walidhani karne ya kumi na saba ambapo aligundua darubini. Pamoja na hayo, wataalamu.kuumbwa kwake ni kamili bila ya maumbo tofauti





MILIMA NI VIGINGI MAUMBO NA KAZI


Aya ya 7 Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Na milima kuwa kama vigingi (vya ardhi).”? .ya Suratul Nabaa :UHAKIKA WA KISAYANSI Milima hapo awali haikujulikana kwa lolote isipokuwa ni kama mkusanyiko wa jiwe Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Na milima kuwa juu kwa usawa wa ardhi. lilikwenda .Aya ya 7 ya Suratul Nabaa kama vigingi (vya ardhi).”? :UHAKIKA WA KISAYANSI Milima hapo awali haikujulikana kwa lolote isipokuwa ni kama mkusanyiko wa jiwe u kwa usawa wa ardhi. Maana hiyo iliendelea hadi Pier Bouger alipoashiria lilikwenda jumwaka 1835 kuwa nguvu ya mvuto iliyosajiliwa kwa aina ya milima ya Andes ni ndogo mno kuliko ilivyokuwa ikitegemewa kutokana na ukubwa wa mkusanyiko wa jiwe kama hilo. dharura wa kuwepo kwa mkusanyiko mkubwa zaidi wenye kuzama chini wa Akapendekeza umada hiyo hiyo ya milima ili iwezekane kutafsiri hali ya kipekee katika uwezo wa mvuto. Katikati ya karne ya 19, George Everest, aliashiria kuwepo kwa hali ya kipekee katika ya Himalayas baina ya maeneo mawili tofauti. Everest ima mvuto wa milimamatokeo ya kuphakuweza kufasiri hali hiyo na akaipa jina la “Utata wa India”. George Ebry akatangaza mwaka 1865 kuwa aina zote za milima katika ardhi ni mkusanyiko wenye kuelea juu ya ana na mada zilizoyeyuka chini ya ardhi, na mada hizo zilizoyeyuka zinachukua bahari kutokeneo kubwa zaidi ya mada ya milima. Kwa hiyo ni lazima kwa milima kuzama kwenye mada .ili ziweze kulinda kusimama kwake hizo zilizoyeyuka zenye eneo kubwa elimu ya jiolojia imegundua kidogo kidogo kuwa ardhi ni mkusanyiko wa Kama hivyo, mabara. Pia imegundua kuwa milima mikubwa vipnde vilivyopakana vilivyoitwa mabamba yani yenye kuelea juu ya bahari kuliko milima yenye kunyumburuka ambayo inachukua eneo anguka. Pia imegundua kuwa milima ina mizizi inayoisaidia kuelea na kubwa zaidi hukuyasimamisha mabamba hayo ili yasipinde na kutetereka. Mwanajiolojia Van Anglin anasema katika kitabu chake “Geomorphology” kilichochapishwa mwaka 1948 (uk.27) “ Inafahamika kwa mkabala wa kila mlima lazima kuwepo kwa mizizi katika (AL SIYMAA)sasa kuwa ni ardhi”. Ama kwa upande wa kazi au mchango wa milima katika kuituliza ardhi, uliopo juu yakumethibitishwa na msingi wa “ Uwiano wa Hydrostaty wa ardhi”, kama ilivyoelezwa na jia wa Kimarekani Dutton mwaka 1889 ambapo anasema kuwa miinuko ya milima mwanajiolokwa kiasi ambacho kinakwenda sambamba na muinuko na urefu inazama ndani ya ardhiwake. Uhakika wa “mbao za ardhi” ulioungwa mkono mwaka 1969, umebainisha kuwa milima .ardhi no wa kila bamba kati ya mabamba yainahifadhi uwia UPANDE WA MIUJIZA: Katika wakati ambao binadamu alikuwa hajui uhakika wa milima ambao uliendelea hadi katikati ya karne ya kumi na tisa, Qurani Tukufu imeweka wazi katika aya hii tukufu kuwa milima inafanana na vigingi katika umbo na kazi. Hivi karibuni umebainika ukweli wa Kutokana na kuwa milima ina sehemu iliyodhahiri juu ya ardhi na kufanana huko kukubwa.ea. sehemu nyengine iliyozama ndani ya ardhi na kazi yake ni kuisimamisha sehemu inayoel


Kadhalika, milima ina sehemu iliyodhahiri juu ya ardhi na sehemu nyengine iliyozama ndani yake inayokwenda sambamba na muinuko na urefu wake. Na kazi ya milima ni kuyasimamisha mabamba ya ardhi na kuyazuia yasipinde na kutetereka kutokana na tabaka iloyeyuka chini yake. Kwa hiyo inadhihirika kuwa kitabu hicho ni maneno ya Mwenyezi lilMungu Mtukufu Muumba wa milima na dunia kuthibitisha kauli yake Mwenyezi Mungu “ Oh! Asijue Aliyeumba! Naye ndiye Avijuaye visivyojulikana na vinavyojulikana.” Aya ya 14 ya.Suratul Mulki





MAMWAIKIO YA MITO


Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Naye (Mwenyezi Mungu) ndiye Anayeziunganisha


bahari mbili; hii ni tamu, inayoondosha kiu, na hii ni yenye chumvi kali; na Akaweka kinga


kati yao na kizuizi kizuiacho (zisiharibiane ila pale kiasi cha kukutana tu). Aya ya 53 ya Suratul


Furqan.


UHAKIKA WA KISAYANSI:


Kitabu cha kwanza kudhihiri kuhusu sayansi ya bahari katika karne ya kumi na nane,


maelezo yake yalikuwa duni. Kisha sayansi ya bahari ikaanza kuchukua sehemu yake baina ya


sayansi mpya wakati meli ya Challenger ya Uingereza ilipoanza safari yake ya kuizunguka


dunia kuanzia mwaka 1872 hadi mwaka 1876. Kisha zikafuatia safari za kisayansi za ugunduzi


wa bahari Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Naye (Mwenyezi Mungu) ndiye


Anayeziunganisha bahari mbili; hii ni tamu, inayoondosha kiu, na hii ni yenye chumvi kali; na


Akaweka kinga kati yao na kizuizi kizuiacho (zisiharibiane ila pale kiasi cha kukutana tu). Aya


ya 53 ya Suratul Furqan.


UHAKIKA WA KISAYANSI:


Kitabu cha kwanza kudhihiri kuhusu sayansi ya bahari katika karne ya kumi na nane,


maelezo yake yalikuwa duni. Kisha sayansi ya bahari ikaanza kuchukua sehemu yake baina ya


sayansi mpya wakati meli ya Challenger ya Uingereza ilipoanza safari yake ya kuizunguka


dunia kuanzia mwaka 1872 hadi mwaka 1876. Kisha zikafuatia safari za kisayansi za ugunduzi


wa bahari. Mwishoni mwa karne ya ishirini, yakaanza kuzidi matumaini ya binadamu ya


kuifahamu bahari kwa njia ya setalaiti na upigaji picha wa mbali. Baada ya uchunguzi wa


maeneo mengi ya makutanio ya mito na bahari, watafiti wamegundua kuwa eneo la


mamwaikio ni mazingira pekee katika sifa zake za kimaumbile na kibayolojia kulinganisha na


mto na bahari licha ya kuingiliana kwa maji na mwendo wake baina yao kwa mujibu wa


kupwa na kujaa kwa bahari na kufurika kwa mto na ukame wake. Na yalikuwa ni kizuizi


chenye kutenganisha mazingira ya mamwaikio na mazingira ya mto na mazingira ya bahari.


Eneo hilo hubakia na sifa zake za pekee licha ya sababu za mchanganyiko kama vile kupwa


na kujaa kwa bahari, na hali za mafuriko na kupungua, ambazo zinahesabiwa kuwa ni kati ya


sababu zenye nguvu za mchanganyiko. Kwa kutenganisha mazingira matatu, na kwa


kuvihesabu viumbe hai vinavyoishi katika mazingira hayo, eneo la mamwaikio linahesabiwa


kuwa ni chumba cha viumbe hai vingi vinavyoishi ndani yake. Kwani viumbe hai hivi haviwezi


kuishi isipokuwa katika eneo la mamwaikio lenye sifa za pekee. Wakati huo huo ni eneo


lililohamwa na viumbe hai vingi vinavyoishi baharini na mitoni, kwani viumbe hai hivyo hufa


iwapo vitaingia katika mazingira hayo kwa sababu ya tofauti ya sifa zake.


UPANDE WA MIUJIZA:


Mikusanyiko yote ya maji inaweza kuitwa bahari. Bahari tamu inayoondosha kiu au


tamu mno, ni mto na bahari yenye chumvi kali au chumvi nyingi ni bahari au bahari ya


chumvi. Na kwa hali hiyo, yamevuliwa maji ya mamwaikio kwani ni mchanganyiko baina ya


chumvi na utamu, hayana sifa ya maji matamu yenye kuondosha kiu wala chumvi kali. Kwa


wasfu huu, maji yako katika mafungu matatu: Maji ya mto, maji ya bahari, na baina yao maji


ya eneo la mamwaikio lililoelezewa katika aya tukufu kuwa ni kinga au kizuizi chenye kuzuia


kutamba kwa sifa ya chumvi ya bahari juu ya mto au utamu wa mto juu ya bahari. Mazingira


ya mamwaikio ni chumba kwa wenye kuishi ndani yake kati ya viumbe hai, na kizuizi chenye


kuzuia wenye kuishi nje yake katika mto au bahari. Hii maana yake ni kutofautika kwa


mazingira matatu katika sifa za kimaumbile na katika viumbe hai.


Maendeleo ya kihistoria katika mwendo wa sayansi ya bahari yanashuhudia


kutokuwepo kwa maelezo ya uhakika kuhusu bahari kabla ya mwaka 1400. Pamoja na hayo,


Qurani Tukufu imeeleza kwa hakika kabisa eneo la mamwaikio ya mito. Imebainisha kuwa ni


mazingira ya pekee katika sifa zake za kimaumbile na za kibayolojia kulinganisha na


mazingira ya mto na mazingira ya bahari. Imeelezea kuwa licha ya kuingiliana kwa maji na


mwendo wake wa kudumu kuelekea kwenye bahari, basi sifa hizo hubakia thabiti. Unatokea


wapi ujuzi huo katika Qurani bila ya teknolojia na vyombo vya kisayansi, ikiwa si kutoka kwa


ambaye elimu yake imekizunguka kila kitu?!



Machapisho ya hivi karibuni

Uislamu Ni dini ya ma ...

Uislamu Ni dini ya maumbile na akili na furaha

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL