Nakala

HABA SODA NI DAWA YA KILA UGONJWA


Toka kwa Mtume (S.A.W) amesema, “ Hakuna ugonjwa wowote isipokuwa katika haba soda ”kuna kupona kwake isipokuwa mauti. :WA KISAYANSIUKWELI Haba soda imetumika katika nchi nyingi za mashariki ya kati na ya mbali kama ni matibabu ya kienyeji tokea zaidi ya miaka elfu mbili na ikawezekana kutolewa mkusanyiko wa 59 na Al Dakhani na dawa uitwao Negelon kutokana na mafuta ya haba soda mwaka 19Toka kwa ina 40% ya mafuta thabiti katika uzito wake wenzake. Mbegu ya haba sodaMtume (S.A.W) amesema, “ Hakuna ugonjwa wowote isipokuwa katika haba soda kuna ”kupona kwake isipokuwa mauti. :UKWELI WA KISAYANSI imetumika katika nchi nyingi za mashariki ya kati na ya mbali kama ni Haba soda matibabu ya kienyeji tokea zaidi ya miaka elfu mbili na ikawezekana kutolewa mkusanyiko wa dawa uitwao Negelon kutokana na mafuta ya haba soda mwaka 1959 na Al Dakhani na ina 40% ya mafuta thabiti katika uzito wake, 1.4% mafuta ya haba sodawenzake. Mbegu mepesi na ina asidi kumi na tano, protini, kalsiamu, chuma, sodiamu, na chokaa. Na kati ya madawa yake yenye ufanisi ni : Themokenon, Dithemokenon, Themohydrokenon na Themol. haba soda katika kinga ya kimaumbile haukudhihirika hadi mwaka 1986 Mchango waKadhi na wenzake nchini Marekani. Kisha baaada ya -tafiti zilizofanywa na Dk. Al kupitiaKadi -hapo zikafuatia tafiti katika nchi mbalimbali na katika nyanja nyingi kuhusu mti huo. Al amethibitisha kuwa haba soda ina athari zenye kutoa nguvu kwa kazi za kinga. Kwani zenye kusaidia na kuwa (Seli rejea zenye kuzuia) kufikia kimezidi kiwango cha (Seli za limfu)kiwango kwa za kimaumbile zenye kuua 72% kwa wastani. Pia imeboreka harakati ya selicha 74% kwa wastani. Matokeo ya baadhi ya chunguzi mpya yamekuja kuthibitisha matokeo :Kadhi. Kati ya hayo ni -ya tafiti za Al Yale yaliyochapishwa na jarida la kinga ya dawa katika toleo la mwezi Agosti 1995 kuhusu i za limfu za kibinadamu) nje juu ya michupo kadhaa na juu ya athari za haba soda kwa (Sella seli nyeupe za damu zenye viini vingi. Pia utafiti uliochapishwa na jarida harakati za kohozila kinga ya dawa katika toleo la mwezi wa Septemba mwaka 2000 AD (10) kuhusu athari za mafuta ya haba soda dhidi ya kupatwa na virusi vyenye kukuza seli ( kinga za katika panya. Mafuta ya haba soda yalipofanyiwa majaribio kama ni kiua cytomegalovirus)virusi na hasa seli za kimaumbile zenye kuua, seli kubwa za kohozi na zoezi la kufanyika a yaliyochapishwa na jarida la saratani la Ulaya katika toleo la Oktoba mwaka 1999 kohozi. Pikuhusu athari za mkusanyiko wa Themokenon katika tumbo la panya. Pia yaliyochapishwa na a soda jarida la tafiti za dawa za saratani katika toleo la Mei 1998 kutokana na mada za habkama ni dawa ya kumalizana na saratani. Kadhalika yaliyochapishwa na jarida la Athno la madawa katika toleo la Aprili 2000 kuhusu athari za sumu na kinga kutokana na dawa ya mea ya tiba Ethanol kutokana na mbegu za haba soda. Pia yaliyochapishwa na jarida la mi


katika toleo la mwezi wa Februari mwaka 1995 kuhusu athari za mafuta thabiti ya haba na mpangilio wa Themokenon kwa vipira vyeupe vya damu, na tafiti nyengine mbali soda.mbali katika uwanja huo :UPANDE WA MIUJIZA Mtume (S.A.W) amesema kuwa katika haba soda kuna matibabu ya kila ugonjwa. Katika mtiririko wa hadithi zote, neno ugonjwa halikuainishwa na limekuja katika mtiririko wa kupona kwa kuthibitisha, kwa hiyo tunaweza kusema kuwa katika haba soda kuna sehemu ya kila ugonjwa. Na imethibiti kuwa chombo cha kinga mwilini ndio mpango pekee wenye kumiliki silaha maalumu ya kumalizana na kila ugonjwa, kwa kina mpango wa kinga ya a kiumbe kipekee au ya kimaumbile yenye kumiliki ufanyaji wa viuavijasumu maalumu kwa kil.chenye kusababisha maradhi na kuunda silaha ya seli maalumu zenye kuua Imethibitika kupitia tafiti za kivitendo kuwa haba soda huchangamsha kinga ya kipekee. Kimepanda kiwango cha seli zenye kusaidia, na seli zenye kuzuia, na seli za imaumbile zenye kuua. Nazo zote ni ( Seli za limfu) zenye kuhusika zaidi na zenye ufanisi, kKadhi. Tafiti zilizochapishwa katika machapisho ya -kwa kiasi cha 75% katika utafiti wa Alye kusaidia na seli kisayansi zimethibitisha ukweli huu, kwani zimeboreka ( Seli za limfu ) zenza kohozi. Pia umezidi mkusanyiko wa Enterveron na Enterloken 1,2 na kuboreka kinga ya seli. Ubora huo umedhihirika katika chombo cha kinga kwa athari yenye kuangamiza kwa kuboreka athari za ugonjwa dawa ya haba soda kwa seli za saratani na baadhi ya virusi. Pia wa michango ya Bilharzia. Kwa hiyo tunaweza kusema kuwa katika haba soda mna dawa ya kila ugonjwa, na inatendeana na kila chenye kusababisha maradhi na inamiliki utoaji wa .kupona kamili au sehemu ya kila maradhi ivi umetukuka ukweli wa kisayansi katika hadithi hizi tukufu ambazo hakuna Kama h mbali ya kuzisema tu na kuwazungumzia watu tokea hata mtu mmoja aliyeweza kuzidirikikarne kumi na nne isipokuwa Mtume (S.A.W) aliyetumwa na Mwenyezi Mungu. Amesema (ya nafsi yake). Mungu aliyesema, “ Na wala hasemi kwa matamaniokweli Mwenyezi Hayakuwa (haya anayoyasema) ila ni wahyi (ufunuo) uliofunuliwa (kwake).” Suratu Nnajmi .4 –aya za 3





KIFUPA NDUGU NA MCHIRIZI WA ASILI


ataliwa na udongo Toka kwa Abu Hureira, Mtume (S.A.W) amesema, “ Kila binadamu ”na ndani yake huumbwa. isipokuwa kifupa ndugu. Kwacho amezaliwa :UKWELI WA KISAYANSI :Kifupa ndugu katika elimu ya vijusi ni ( mchirizi wa asili ) li ( Elimu ya kileo ya vijusi imeweka wazi kuwa kifupa ndugu, ni mchirizi wa asi Primitive Streak ), kwani mchirizi huu wa kwanza ni wenye kufanyika mara tu baada ya Toka kwa kudhihiri kwa kijusi kwa tabaka zake zote na hasa chombo cha mishipa ya fahamu wa kifupa Abu Hureira, Mtume (S.A.W) amesema, “ Kila binadamu ataliwa na udongo isipoku”na ndani yake huumbwa. ndugu. Kwacho amezaliwa :UKWELI WA KISAYANSI :Kifupa ndugu katika elimu ya vijusi ni ( mchirizi wa asili ) Elimu ya kileo ya vijusi imeweka wazi kuwa kifupa ndugu, ni mchirizi wa asili ( Primitive Streak ), kwani mchirizi huu wa kwanza ni wenye kufanyika mara tu baada ya isha kudhihiri kwa kijusi kwa tabaka zake zote na hasa chombo cha mishipa ya fahamu. Kmchirizi huu hutoweka na hakuna kinachobakia isipokuwa alama ambayo huitwa mfupa wa .kifupa ndugu kinakuwa pembe nne Katika siku ya kumi na nne, Kufanyika kwa mchirizi wa asili: atika umbo la pea, na sehemu pana hadi ziwe k visahani vya nje na ndani katika seli za kijusihuwa ni sehemu ya mbele wakati ambapo sehemu ya nyuma inagonga, na huchangamka seli ( Ectoderm) katika sehemu ya nyuma yenye kufanya mchirizi wa za kisahani cha njewanza katika siku ya kumi na tano (Primitive Streak ) ambao hudhihiri kwa mara ya k asili.tokea kuanza kwa mchevuko na huondoka Hudhihiri mgawanyiko wa haraka na ukuaji mwingi wa mchirizi wa asili kwenye seli kuliani kwake na kushotoni kwake baina ya tabaka ya “Ectoderm” ya nje na .rm” ya ndani yenye tabaka mpya ambayo ni tabaka ya kati ( Mesoderm )tabaka ya “Entode Kutokana na kudhihiri kwa mchirizi wa kwanza, huanza kufanyika kwa chombo cha mishipa ya fahamu na ncha ya uti wa mgongo. Pia hufanyika tabaka ya kati ( Mesoderm ), na huanza kufanyika viungo. Ama pasipokuwepo au kutofanyika kwa mchirizi wa asili, basi kijusi viungo hivyo havifanyiki, na kwa hiyo kisahani cha awali cha kijusi hakiwezi kugeuka kuingia .kwenye kipindi cha kufanyika kwa viungo ikiwemo chombo cha mishipa ya fahamu Kutokana na umuhimu wa mchirizi huu, tume ya Warnek ya Uingereza ( inayohusika uchevushaji wa binadamu na vijusi ), imeufanya kuwa ni alama yenye kutenganisha baina na


usi vya awali ya wakati ambao madaktari na watafiti wanaruhusiwa kufanya majaribio kwa vijbomba ( visahani ). Wakati wa vinavyotokana na ongezeko la uchevushaji usio wa asili katika:kudhihiri kwa mchirizi wa asili na kutokana na nguvu zake kubwa hudhihiri yafuatayo hudhihiri “Otic kinapojifunga,Katika wakati ambao kijibomba cha mishipa ya fahamu .Placode” na “Lens Placode” Ubongo hufanyika katika theluthi mbili za juu ya kijibomba cha mishipa ya fahamu wakati ambapo uboho hufanyika katika theluthi ya chini, hiyo ni kwa ngazi ya ukubwa wa o ). Kwani ukubwa wa mwili (Somirtes) mine ya kwanza hufanya sehemu ya tan –mwili ( nne .tako la fuvu Hufanyika tabaka ya Mesoderm ambayo huwa kwa wingi pembezoni mwa mhimili wa kijusi chenye ukubwa wa mwili (Somites) ambayo hufanya uti wa mgongo na tishu. Pia utokeza mwanzo wa ncha za juu na chini, nazo ndizo zenye kufanya chombo cha umbo na hkifuniko cha tumbo la ndani, tishu. Pia hufanyika chombo cha mkojo na uzazi. Pia hufanyikaka mishipa kifuniko cha mapafu mawili na kifuniko cha moyo kwa mpangilio. Kadhalika hufanyi.ya damu, moyo na tishu za chombo cha usagaji chakula Kama hivi ikiwa mchirizi wa asili ni alama muhimu ya kuanza kudhihiri kwa tishu za kijusi na kufanyika kwa tabaka tofauti ikiwemo viungo. Kwa kweli kile kinachojulikana kuwa ni indi cha kufanyika kwa viungo ( Organogenesis ) hakianzi ila baada ya kufanyika kwa kipukubwa wa mwili, na huendelea kuanzia wiki na mchirizi wa asili, (AL MIIZAAB AL ASWABII)mekamilika ya nne hadi mwisho wa wiki ya nane, kwani kijusi katika kipindi hicho kinakuwa kikuwa na vyombo vyote muhimu, na viungo vyake vinakuwa vimeshafanyika isipokuwa vitu .vidogo vidogo na ukuaji :Mwisho wa mchirizi wa asili (Primitive Streak) di uanze Mchirizi wa asili unapokaribia kumaliza kazi yake hiyo katika wiki ya nne ha katika kijusi kisha katika mtoto, kutoweka na kubakia umejificha katika eneo la kifupa ndugu.na hutoweka isipokuwa athari ndogo ambayo haiwezi kuonekana kwa macho ya kawaida :UPANDE WA MIUJIZA ati ya miujiza yake Mtume (S.A.W). Elimu ya kileo Hakika hadithi za kifupa ndugu, ni k ya vijusi imeweka wazi kuwa binaadamu anafanyika na anakua kutokana na kifupa ndugu ( wanaouita mchirizi wa asili ). Nao ndio wenye kuipa motisha seli ya kugawanyika . Umaalumu i (Primitive Streak) na kwa athari yake moja kwa moja hudhihiri na upekee wa mchirizi wa asilchombo cha mishipa ya fahamu katika sura yake ya kwanza (mbegu ya mishipa ya fahamu, kisha kijibomba cha mishipa ya fahamu, kisha chombo cha mishipa ya fahamu ngine. Mchirizi huu wa asili hutoweka isipokuwa sehemu kilichokamilika) kisha viungo vyeToka hapo, hurejea muundo wa ndogo hubakia katika eneo ambalo kifupa ndugu hufanyikia.kuumbwa binadamu siku ya kiyama kama alivyotufahamisha hivyo msema kweli mwenye .kuaminiwa (S.A.W)


KUPANDA MBINGUNI


Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Basi yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumuongoza, Hufungulia kifua chake Uislamu; na yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka islamu); kumhukumu kupotea, Hufanya kifua chake kizito kinaona tabu kubwa (kufuata huo Ukama kwamba anapanda mbinguni (kusikokuwa na pumzi). Namna hivi Mwenyezi Mungu .am-Aya ya 125 Suratul An Anajaalia uchafu juu ya wale wasioamini. :UKWELI WA KISAYANSI isha mwaka 1648 Ujuzi juu ya mpangilio wa anga ulikuwa haupo hadi Pascal alipothibit kuwa shinikizo la hewa hupungua kila unapokwenda juu ya usawa wa bahari. Ikabainika Mwenyezi Mungu baadae kuwa hewa iko kwa wingi zaidi katika tabaka za chini ya angahewa a, Hufungulia Mtukufu Amesema, “ Basi yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumuongozkifua chake Uislamu; na yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumhukumu kupotea, Hufanya kifua chake kizito kinaona tabu kubwa (kufuata huo Uislamu); kama kwamba anapanda mbinguni (kusikokuwa na pumzi). Namna hivi Mwenyezi Mungu Anajaalia uchafu.am-Aya ya 125 Suratul An juu ya wale wasioamini. :UKWELI WA KISAYANSI Ujuzi juu ya mpangilio wa anga ulikuwa haupo hadi Pascal alipothibitisha mwaka 1648 kuwa shinikizo la hewa hupungua kila unapokwenda juu ya usawa wa bahari. Ikabainika ae kuwa hewa iko kwa wingi zaidi katika tabaka za chini ya angahewa, hukusanyika baadya gesi za anga baina ya usawa wa ardhi na urefu wa futi elfu ishirini asilimia hamsini (50%)i na urefu (20,000) juu ya usawa wa bahari, na asilimia tisini (90%) baina ya usawa wa ardhwa futi elfu hamsini (50,000) kwenye usawa wa ardhi. Kwa hiyo wingi wake hupungua kila unapopanda juu kwa ujumla. Na hewa hugotagota kwa kiasi kikubwa katika tabaka za juu o usiopindukia kabla ya kupotea kabisa katika anga. Na kuwepo kwa binadamu katika muinukfuti elfu kumi (10,000) juu ya usawa wa bahari, hakumsababishii tatizo lolote. Chombo cha na ishirini na tano kuvutia pumzi kinaweza kuzoea kwenye urefu kati ya futi elfu kumiungua shinikizo la anga 25,000). Binadamu kila anapopaa juu mbinguni, basi hup –(10,000 na hupungua kiasi cha oksijeni, jambo ambalo husababisha kubanwa kwa kifua na tabu kubwa ya kuvuta pumzi huzidi kutokana na haja kubwa ya tishu (mkusanyiko wa seli mwilini) taji ili zifanye kazi zake wakati ya oksijeni. Iwapo isipokuwepo na seli za mwili kuzidi kuhiinapozidi kupanda juu, hupatwa na hali mbaya mno ambapo uvutaji pumzi huchafuka (Oxygen Starvation). Kwa sababu ya upungufu mkubwa wa oksijeni, binadamu wakati huo .y System) na huangamiahupatwa na kufeli kwa chombo cha kuvutia pumzi (Respirator UPANDE WA MIUJIZA: ya hakujua suala la mpangilio wa gesi Ni wazi kuwa binadamu wakati wa wahyi, angahewa katika tabaka zake tofauti, na kwa hiyo hali ya kupungua kwa shinikizo katika binaadamu tabaka za juu na kupungua kiasi wingi wa gesi ya oksijeni ya lazima kwa uhai kilaanapozidi kupanda angani, na kwa hiyo hajui athari za hayo kwa uvutaji wa pumzi na kubakia uhai, kwani humalizikia kufeli kwa chombo cha kuvutia pumzi. Bali kinyume cha hivyo, watu chake hutanuka zaidi na walikuwa wakidhani kuwa kila binadamu anapozidi kwenda juu kifua.kuzidi kufurahia hewa safi


na sayansi Aya tukufu inaashiria kwa uwazi kabisa mambo mawili yaliyogunduliwa mpya. Kwanza ni kubanwa kwa kifua na uzito wa kuvuta pumzi kila binadamu anapozidi nga. Iliyobainika ni kuwa hutokea kwa sababu ya kupungua kupanda juu katika tabaka za akwa oksijeni na kushuka kwa shinikizo la hewa angani. Pili ni hali mbaya inayotangulia mauti, ni kubanwa kwa pumzi wakati anapojaribu kupanda tabaka za anga futi elfu thelathini, kwa a sana kwa shinikizo la anga na upungufu mkubwa wa oksijeni ya lazima sababu ya kushukkwa uhai hadi kumalizika kwa oksijeni ndani ya mapafu na binadamu kufikwa na mauti na .kuangamia Mbali na neno (anapanda mbinguni) ambapo kwa maana yake ya Kiarabu inaongeza ito wakati wa kupanda. Na huu ni wasfu wa kina wa mashaka na machungu uzyanayoambatana na tukio. Hivyo inawezekana habari za ukweli huu kuwa chengine isipokuwa .ni wahyi toka kwa Mwingi wa kujua na Mwingi wa habari



Machapisho ya hivi karibuni

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI