Nakala

JUA KAMA NI TAA NA MWEZI WENYE NURU


enyezi Mungu Amesema, “ Ni mwenye kuleta baraka (kweli kweli) yule Aliyezijaalia nyota Mw .mbinguni, na Akajaalia humo jua na mwezi unaong’ara.” Aya ya 61 ya Suratul Furqan :UKWELI WA KISAYANSI a nishati ya jua kutokana na Nishati ya jua (mtambo wa nyuklia wa dunia). Hupatikan kuungua kwa haidrojeni ambayo ndiyo sehemu yake kuu na huigeuza kuwa helium ndani kutokea yake kwani wingi, shinikizo na joto linalofikia digirii milioni 15, hayo yote hupelekeaatom nne za haidrojeni kwa ajili ya kutoa kwa maingiliano ya nyuklia na kuchanganyika kwa atom moja ya helium na inakuwa tofauti ya densiti baina ya mada zenye kuingia katika maingiliano na matokeo ya maingiliano huenea nishati ya sumaku umeme na huenea juu ya ana na mionzi ya kuonekana, mionzi jua mionzi yenye mawimbi madogo yanayoambatmyekundu na mionzi ya zambarau. Hii ina maana ya kuwa jua linategemea nishati yake toka ndani yake kupitia kuchanganyika kwa kawaida kwa nyuklia katika hali kubwa ya shinikizo, a wa nyuklia ili kuipatia ardhi mwangaza, density na joto, kama kwamba ni mtambo mkubwMwenyezi Mungu Amesema, “ Ni mwenye kuleta baraka (kweli ujoto na nishati. Jua ni nyota kweli) yule Aliyezijaalia nyota mbinguni, na Akajaalia humo jua na mwezi unaong’ara.” Aya ya .61 ya Suratul Furqan :KISAYANSI UKWELI WA Nishati ya jua (mtambo wa nyuklia wa dunia). Hupatikana nishati ya jua kutokana na kuungua kwa haidrojeni ambayo ndiyo sehemu yake kuu na huigeuza kuwa helium ndani kutokea ayo yote hupelekeayake kwani wingi, shinikizo na joto linalofikia digirii milioni 15, hkwa maingiliano ya nyuklia na kuchanganyika kwa atom nne za haidrojeni kwa ajili ya kutoa atom moja ya helium na inakuwa tofauti ya densiti baina ya mada zenye kuingia katika ya sumaku umeme na huenea juu ya maingiliano na matokeo ya maingiliano huenea nishati jua mionzi yenye mawimbi madogo yanayoambatana na mionzi ya kuonekana, mionzi myekundu na mionzi ya zambarau. Hii ina maana ya kuwa jua linategemea nishati yake toka katika hali kubwa ya shinikizo, ndani yake kupitia kuchanganyika kwa kawaida kwa nyuklia density na joto, kama kwamba ni mtambo mkubwa wa nyuklia ili kuipatia ardhi mwangaza, ujoto na nishati. Jua ni nyota, nayo ni kitu cha mbinguni kinachong’ara na kutoa nishati


itu cha angani c chenyewe wakati ambapo mwezi ni sayari, nayo ni k henye mwangaza thabiti


kinachotoa mionzi inayoipokea toka kwenye nyota na jua. Haya yanaambatana na matokeo


ya kawaida ya sayari.


UPANDE WA MIUJIZA:


Maelezo ya Qurani tokea zaidi ya miaka elfu moja na mia nne, yameashiria tofauti


baina ya nyota na sayari, mfano katika jua na mwezi. Nayo ndiyo yaliyofikiwa na wataalamu


wa falaki wa leo baada ya kugundua darubini na kupiga picha za mwangaza kwa nyota na


sayari katika miaka michache iliyopita. Nyota si chengine isipokuwa ni kitu cha mbinguni


chenye kung’ara kinachotoa nishati chenyewe wakati ambapo sayari ni kitu cha angani


chenye mwangaza thabiti na kinachotoa mionzi inayokipokea toka kwenye nyota na jua. Na


haya yanaambatana na matokea ya kawaida ya sayari. Jua linahesabiwa kuwa ni mtambo


mkubwa wa nyuklia unaoelea angani kwa kasi kubwa wenye mwangaza, nishati na joto


yenye maumbo tofauti na yenye kubadilika katika idadi na namna. Nalo sio kisahani chenye


kutoa mwangaza thabiti, bali ni taa yenye joto kali. (Na Tukaifanya taa ing’arayo na yenye


joto kubwa). Suratul An Nabaa aya ya 13. Na mwezi ni sayari yenye kuakisi mwangaza wa


jua na hutoa nuru kwa ardhi wakati wa usiku. Nalo ndilo ambalo limeelezewa na Qurani


tukufu katika aya mbili hizi. Basi ni nani aliyemfahamisha Muhammad (S.A.W) ukweli huu?


Hakika ni Mwenyezi Mungu iliyotukuka shani Yake



Machapisho ya hivi karibuni

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI