Nakala

ACHENI KATIKA MASHUKE YAKE Yussuf! Ewe mkweli ! Tueleze hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu Anasema, “ ya ng’ombe saba wanene kuliwa na ng’ombe saba dhaifu. Na mashuke saba mabichi na mengine yamekauka, ili nirejee kwa watu wapate kujua. Akasema:“ Mtalima miaka saba mfululizo kwa juhudi (yaani limeni miaka saba kwa juhudi, kwani itaingia njaa kubwa baada ya miaka saba). Na mtakavyovivuna, viacheni katika mashuke yake, isipokuwa kidogo mnavyokula (ili Kisha inakuja baadaye miaka mnavyoviacha mule miaka ya njaa itakayokuja.) saba ya shida itakayokula vile mlivyoipa (yaani watu watakula ile akiba mliyoiweka) isipokuwa kidogo mtakachohifadhi (kwa ajili ya kupandia). Kisha baada ya haya, utakuja mwaka huo watu watasaidiwa na (Mwenyezi Mungu); ”huo watakamua (vya kukamua). na katika :UHAKIKA WA KISAYANSI Ufahamu wa kuhifadhi nafaka katika mashuke, unazingatiwa kuwa ni mpango muhimu wa kuhifadhi uzalishaji katika mazingira magumu leze Yussuf! Ewe mkweli ! Tue Mwenyezi Mungu Mtukufu Anasema, “ mno. hakika ya ng’ombe saba wanene kuliwa na ng’ombe saba dhaifu. Na mashuke saba mabichi na mengine yamekauka, ili nirejee kwa watu wapate kujua. Akasema: “ Mtalima miaka saba mfululizo kwa juhudi (yaani limeni miaka ubwa baada ya miaka saba). Na saba kwa juhudi, kwani itaingia njaa kmtakavyovivuna, viacheni katika mashuke yake, isipokuwa kidogo mnavyokula (ili mnavyoviacha mule miaka ya njaa itakayokuja.) Kisha inakuja baadaye miaka saba ya shida itakayokula vile mlivyoipa (yaani watu watakula liyoiweka) isipokuwa kidogo mtakachohifadhi (kwa ajili ya ile akiba mkupandia). Kisha baada ya haya, utakuja mwaka huo watu watasaidiwa na


”(Mwenyezi Mungu); na katika huo watakamua (vya kukamua). :UHAKIKA WA KISAYANSI shuke, unazingatiwa kuwa ni Ufahamu wa kuhifadhi nafaka katika ma mpango muhimu wa kuhifadhi uzalishaji katika mazingira magumu mno. Na haya ndiyo yenye kukusanya baina ya kilimo, teknolojia ya kuhifadhi na Abid na wenzake katika Chuo Kikuu cha -kuhifadhi mazao. Dk. Abdel Majid BalMorocco, wamefanya majaribio kuhusu nafaka ya ngano Rabat nchinizilizoachwa katika mashuke yake kwa muda wa miaka miwili kulinganisha na nafaka zilizopukuchuliwa toka mashuke yake. Matokeo ya awali ya yamedhihirisha kuwa mashuke hayakutokewa na mabadiliko yoyote ya kiafna yamebakia katika hali yake ya 100% pamoja na kuelewa kuwa sehemu ya kuhifadhia ilikuwa ni sehemu ya kawaida isiyo na shuruti zozote za joto au unyevunyevu au chengine. Katika mfumo huu, imebainika kuwa nafaka muhimu cha maji na a kiasizilizoachwa kwenye mashuke yake zimepotezkuwa kavu baada ya kupita wakati kulinganisha na nafaka zilizopukuchuliwa toka mashuke yake. Hii maana yake ni kuwa 20.3% ya uzito wa ngano iliyopukuchuliwa toka mashuke yake ni maji, jambo ambalo linaathiri vibaya ka hizo kwa upande wa ulimaji na kustawi kwake na kwa uwezo wa nafaupande wa uwezo wake wa chakula. Kwa kuwepo maji kunarahisisha kuoza kwake na ubaya wake kiafya. Kisha watafiti wakalinganisha sifa za ukuaji ( zobakia katika urefu wa mizizi na urefu wa mashina ) baina ya nafaka zilimashuke yake na nyengine zilizopukuchuliwa kwa muda wa miaka miwili. Ikabainika kuwa nafaka zilizo kwenye mashuke ni bora katika ukuaji kwa 20% kwa upande wa urefu wa mizizi, na 32% kwa upande wa urefu wa shina. na wanga ambazo hubakia bila ya sio ya protiniKisha watafiti wakafanya makikubadilika au kupungua. Katika nafaka zilizopukuchuliwa toka mashuke yake, kwa upande wa protini baada ya kiwango chake kimepungua kwa 32%o miaka miwili na kwa 20% baada ya mwaka mmoja, wakati ambapo mpangili.huo haukubadilika katika nafaka zilizohifadhiwa kwenye mashuke yake :UPANDE WA MIUJIZA Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Na mtakavyovivuna viacheni katika mashuke yake.” Maana ni kuwa kuhifadhi kwa kubakisha nafaka katika teknolojia bora na njia nzuri za kuhifadhi nafaka mashuke yake, ndio zilizohifadhiwa ndani ya mashuke bila ya kuharibika kwa kupita wakati. Kuna :mazingatio mawili ya kivitendo katika aya hii tukufu Kuainisha muda wa kufaa kwa nafaka za mbegu ni miaka kumi na tano, 1.ambayo ni jumla ya miaka saba ambayo watu wanalima na wanavuna katika


miaka hiyo, nayo ni miaka ya mbolea na mapato, ikifuatiwa na miaka saba ya ukame mkali, ni miaka ya ukame ikafuatiwa na mwaka mmoja. Kwa hiyo yo, watu husaidiwa na pia jumla ni miaka kumi na tano. Katika miaka hiwanakamua matunda. Utafiti wa kisayansi umebainisha kuwa miaka kumi na tano ni muda wa juu kabisa kwa nafaka kuendelea kuhifadhi nguvu ya ukuaji .na maendeleo yake “Viacheni Njia ya kuhifadhi ni kauli Yake Mwenyezi Mungu Mtukufu: 2.katika mashuke yake.” Nayo ni njia ya kisayansi iliyofanyiwa utafiti wa majaribio. Na kwa utafiti huo, inabainika kuwa njia bora kabisa ya kuhifadhi nafaka ni ile ambayo imeashiriwa na Nabii Yusuf (A.S). Nayo ni Wahyi wa fahamika kuwa njia hii haikuwa ikitumika hapo Mwenyezi Mungu kwake. Inazamani na hasa kwa Wamisri wa kale ambao walikuwa wakihifadhi nafaka zilizopukuchuliwa toka mashuke yake. Hii inahesabiwa kuwa ni moja kati ya a aina ya miujiza ya kisayansi katika kuhifadhi mbegu na nafaka katikmashuke ili zisitokewe na mabadiliko yoyote au kuharibika. Qurani kuitaja hali hii, kunathibitisha utukufu wake na uwazi wa elimu, na kuwa ni wahyi toka .Mwenyezi Mungu kwa



Machapisho ya hivi karibuni

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI