Nakala

بسم الله الرحمن الرحيم


Fadhila Za Mwezi Wa Muharram, Siku Ya 'Aashuraa Na Bid'ah Zake Imekusanywa na Abubakari shabani rukonkwa. Imepitiwa na Yunus Nanuni Ngenda. AlhamduliLLaah, Tunamshukuru Allaah (Subhaanahu engine wa Ta'ala) Kutufikisha tena katika mwaka mwmpya wa Kiislamu. Katika mwezi wa Muharram, kuna fadhila zake maalumu juu ya kwamba ni sawa na miezi mitukufu mingineyo. Fadhila nyingi Muislamu anaweza kuzipata atakapotekeleza maamrisho ili nga aweze kujichumia thawabu nyingi. Mojawapo ni fuehe 9 na 10 Muharram zinazojulikana kama ya tarTaasu'aa na 'Aashuraa. Hivyo ndugu Waislamu tusiache kufunga siku hizi mbili kwani thawabu zake ni kama ilivyotajwa katika mapokezi yafuatayo: قال النبي صلى الله عليه وسلم : )) صيام يوم عاشوراء ، إني أحتسب على


الله أن يكفر السنة التي قبله(( رواه مسلم


Kasema Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): ((Funga ya siku ya 'Aashuraa, nataraji kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka .gulia)) [Muslim]uliotan


Fadhila Za Mwezi Huu Khaswa


Ingawa miezi minne yote iliyotajwa katika Aayah ya juu ni mitukufu lakini mwezi huu wa Muharram umefadhilishwa zaidi ya miezi mingine kama ilivyo :Hadiyth zifuatazoatika K عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللهَِ صَلَى اللهَُ عَلَيْهِ وَسَلَمَ


))أَفْضَلُ الصِّيَامِ بَعْدَ رَمَضَانَ شَهْرُ اللهَِ الْمُحَرَمُ (( رواه مسلم


Imepokelewa na Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu 'anhu) kasema; Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa lam) amesema: ((Funga bora kabisa aalihi wa salbaada ya Ramadhaan ni funga ya mwezi wa Allaah wa Muharram)) [Muslim]


عَنْ ابْنِ عَبَاسٍ رَضِيَ اللهَُ عَنْهُمَا قَالَ : "مَا رَأَيْتُ النَبِيَ صَلَى اللهَُ عَلَيْهِ وَسَلَمَ


يَتَحَرَى صِيَامَ يَوْمٍ فَضَلَهُ عَ لى غَيْرِهِ إِ ا لّ هَذَا الْيَوْمَ يَوْمَ عَاشُورَاءَ وَهَذَا الشَهْرَ


يَعْنِي شَهْرَ رَمَضَنِان " رواه البخاري


Imepokelewa na Ibn 'Abbaas (Radhiya Allaahu 'anhuma) ambaye amesema: "Sijapata kumuona Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) biri kufunga siku yoyote kama siku hii ya siku ya akisui huu yaani mwezi wa 'Aashuraa na mwezBukhaariy]-[AlRamadhaan" Sababu Ya Kufunga Siku Ya 'Aashuraa


عَنْ ابْنِ عَبَاسٍ رَضِيَ اللهَ عَنْهُمَا قَالَ : " قَدِمَ النَبِيُّ صَلَى اللهَ عَلَيْهِ وَسَلَمَ الْمَدِينَةَ


فَرَأَى الْيَهُودَ تَصُومُ يَوْمَ عَاشُورَاءَ فَقَالَ : ))مَا هَذَا(( قَالُوا هَذَا يَوْمٌ صَالِحٌ هَذَا


يَوْمٌ نَجَى اللهَ بَنِي إِسْرَائِيلَ مِنْ عَدُوِّهِمْ فَصَامَهُ مُوسَى، قَالَ : ))فَأَنَا أَحَقُّ بِمُوسَى


مِنْكُمْ (( فَصَامَهُ وَأَمَرَ بِصِيَامِهِ " رواه البخاري


Imepokelewa na Ibn 'Abbaas (Radhiya Allaahu 'anhuma) kasema "Alielekea Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Madiynah akawaona Mayahudi wanafunga siku ya 'Aashuraa, akasema: Wakasema hii ((Nini hii?)) (yaani kwa nini mnafunga?)ni siku njema, hii ni siku Allaah Aliyowaokoa Wana wa Israili kutokana na adui wao, na Muusa alifunga siku hii. Akasema (Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): ((Mimi nina haki zaidi juu ya Muusa kuliko yo na akaamrisha ifungwe" nyinyi)). Akafunga siku hi Bukhaariy]-[Al


Lakini Mtume wetu (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ametufundisha kuwa tukhitilafiane na Mayahudi kufunga siku hiyo kwa kuongeza siku moja kabla.


Bid'ah Katika Siku Ya 'Aashuraa Katika mwezi huu wa Muharram, tarehe kumi ambayo ni siku ya 'Ashuraa, tunawaona baadhi ya watu wakifanya maandamano na kuvaa nguo nyeusi wakidai ni nguo za msiba, na huku wakijipiga vifua kwa ngumi na wengine kujikata kwa visu, kujipiga kwa


mu kuwamwagika, wakidai minyororo na da-wanaomboleza kifo cha mjukuu wa Mtume, AlHusayn (Allaah Amrehemu). Matendo hayo ni mambo ambayo hayakubaliki kisheria na wanachuoni wote wa Kiislam wanapinga na kulaani anayefanya hivyo la kwani ni kinyume na mafundisho ya Mtume (SwalAllaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Amesema Ibn Taymiyyah (Allaah Amrehemu): "Bid'ah zinazofanyika katika siku hii ni kuwa baadhi ya watu wameitenga na kuifanya kuwa ni siku ya huzuni Husayn (Radhiya Allaahu 'anhu) na -kwa kuuliwa Alkati Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi kujipiga, kulia wawa aalihi wa sallam) aliharamisha kama ilivyo katika Hadiyth hii sahihi:


عن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه قال : قال النبي صلى الله عليه وسلم:


))ليس منا من لطم الخدود وشق الجيوب ودعا بدعوى الجاهلية(( البخاري . a Ibn Mas'uud (Radhiya Allaahu 'anhu) Imetoka kwamesema: Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema ((Sio miongoni mwetu atakayejipiga mashavuni na kuchanachana nguo na Bukhaariy]-kupiga mayowe ya kijahiliya)) [Al natukana na Na haitoshi hayo wayafanyao, bali wakuwalaani Maswahaba wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika siku hiyo."


Ibn Rajab amesema


Rafidhah (Mashia) katika siku -"Wanayoyafanya Ma-hii kuwa ni siku ya huzuni kwa ajili ya kuuliwa Alamali ambazo Husayn (Radhiya Allaahu 'anhu) nianazopoteza mtu katika uhai wake akadhani kuwa wanafanya amali njema, wala hakuamrisha Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kufanya siku za misiba na vifo vya Mitume kuwa ni siku za huzuni, sasa vipi iwe siku ya huzuni kwa wasioMitume?"


Tunamuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Atujaalie katika wale ambao husikiliza kauli wakafuata .zile zilizo njema. Aamiyn



Machapisho ya hivi karibuni

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI