Nakala

MARADHI YA NGONO NA MAGONJWA YA ZINAA


Mtume (S.A.W) amesema : “ Haukudhihiri uchafu katika kaumu katu hata wakautangaza, ambayo hayakuwahi kutokea kwa isipokuwa itaenea baina yao tauni na maradhi”epitawaliotangulia ambao wam Pia Mtume (S.A.W) amesema : “ Haienei zina katika kaumu katu ila hukithiri vifo kwao.” .Imepokelewa na Malik katika Muwatau :UKWELI WA KISAYANSI Sayansi ya kileo chini ya mikono ya wataalamu wa viumbe vidogo katika karne mbili imegundua kuwa kundi la bacteria, ukungu na virusi, havimfikii binadamu isipokuwa zilizopitaMtume (S.A.W) amesema : “ kwa njia ya tendo la ngono la njia isiyo ya kawaida Haukudhihiri uchafu katika kaumu katu hata wakautangaza, isipokuwa itaenea baina yao ”ambayo hayakuwahi kutokea kwa waliotangulia ambao wamepita maradhitauni na Pia Mtume (S.A.W) amesema : “ Haienei zina katika kaumu katu ila hukithiri vifo kwao.” .Imepokelewa na Malik katika Muwatau :UKWELI WA KISAYANSI no ya wataalamu wa viumbe vidogo katika karne mbili Sayansi ya kileo chini ya miko zilizopita imegundua kuwa kundi la bacteria, ukungu na virusi, havimfikii binadamu isipokuwa


kwa njia ya tendo la ngono la njia isiyo ya kawaida. Ni kama kuwa na mahusiano mengi ya ina ya wanaume na wanawake, na mahusiano ya kimapenzi yasiyo ngono yasiyo maalumu baya kawaida baina ya wanaume kwa wanaume, au baina ya wanawake kwa wanawake . Na iwapo likitanuka duara la mahusiano hayo, basi jamii inatishiwa na magonjwa ya kuambukiza vidudu hivyo vya maradhi hugeuka sifa zake bila ya kusita jambo yasiyopata kutokea. Kwaniambalo yanayfanya kuwa sugu kutibika. Pia mwiliunashindwa kupambana navyo kwa sababu ya kutokuwepo kinga ya mwili dhidi yake. Na pia yanaweza kutokea kwa sura na sifa mpya .katika mustakbali :UPANDE WA MIUJIZA Hadithi ya Mtume (S.A.W) imetufichulia suna kuu ya kijamii inayoweza kutokea katika jamii yoyote inayofanyika na utangulizi na matokeo. Utangulizi: Kuenea mahusiano ya amii na kutoyaharamisha na haramu kama zinaa na mahusiano yasiyo ya kawaida katika jkuyaridhia, na kisha kuyatangazia. Nalo ndilo lililopewa jina la kuhalalisha ngono, nayo ndiyo yaliyomo kwenye kauli yake (S.A.W) “ Haukudhihiri uchafu katika kaumu katu hata kuenea kwa maradhi ya ngono na wakautangazia). Matokeo yanayotokana na zinaa hiyo, nikutapakaa kwa sura ya kuambukiza kwa hatari, na kudhihiri kwake katika sura nyengine “Isipokuwa katika vizazi vinavyofuatia. Nayo ndiyo yaliyomo kwenye kauli yake (S.A.W) :tokea kwa waliowatangulia ambao itaenea tauni na maradhi kwao ambayo hayakuwahi kuwamepita”. Haya yametokea katika miaka hii katika jamii nyingi za Magharibi. Yameenea kwa mahusiano ya haramu na yasiyo ya kawaida, na wao wakayaridhia kama ni tabia ya kijamii, zilizopo. Dk. Shofield katika kitabu chake bali wameyatangazia kwa kila njia za matangazomaradhi ya ngono anasema: Umeenea urahisi wa jamii kuelekea kwenye matendo yote chaya ngono, na wala hakuna hisia yoyote ya haya kutokana na zinaa na kulawiti, au uhusiano oharamishwa. Bali vyombo vya uenezi vimejaalia wowote wa ngono usio wa kawaida au ulikuwa ni kitu cha aibu kwa mvulana na msichana kuwa ni mwenye kujikinga. Kujikinga kwa upande wa mwanamme au mwanamke katika jamii za magharibi, limekuwa ni jambo la oa wito na kuhimiza zinaa kwa kuihesabu kuonewa aibu na mtu. Vyombo vya habari vinat.kuwa ni jambo la kimaumbile Idara ya maelezo ya Uingereza inasema kuwa wenye mahusiano ya ngono yasiyo ya kawaida, wametoka kwenye duara lao la siri na kuingia kwenye duara la dhahiri, na zao, baa zao, mabustani yao, fukwe zao, mabwawa yao ya kuogelea na wamekuwa na klabu.hata vyoo vyao Yameandikwa mamia ya makala, vitabu, maigizo, hadithi na filamu zenye kutukuza umalaya na mahusiano ya ngono yasiyo ya kawaida, bali makanisa mengi ya Magharibi ameruhusu zinaa na kulawiti, bali hufungwa ndoa baina ya mwanamme na mwanamme ymbele ya askofu katika baadhi ya makanisa ya Nchi za Magharibi. Yameundwa maelfu ya jumuiya na vilabu vinavyosimamia mambo ya wenye mahusiano ya ngono yasiyo ya kawaida. ?a utangulizi wa tabia hii inayoendelea. Je, yamefikiwa matokeoUmefikiw Naam, yamedhihiri kwao maradhi ya zinaa katika sura ya maambukizo yaliyowasababishia machungu mengi. Ulimwengu umeshuhudia mawimbi makubwa ya di tofauti tokea kudhihiri kwa mara ya kwanza kuenea kwa maradhi ya kaswende kwa vipinmwaka 1494, na kufyeka mamilioni ya watu katika karne ya 15 iliyopita na kuharibu maisha ya mamilioni ya watu wengine. Bado vijidudu vya maradhi vinaendelea kubadilisha sifa zake katika ulimwengu wa leo. Kadhalika maradhi ya gono na vinamshambulia upya binadamuyanaongoza maradhi ya kuambukiza, nayo ni kati ya maradhi ya ngono yaliyoenea duniani na


wenye kukata uzazi kwa mwenye kushambulia, kwa hiyo unaitwa ugamba mkubwa. Yote a binadamu anayekwenda kinyume na mafunzo ya haya ni maradhi ya ngono yanayompatkwa magonjwa na maradhi yenye kuuma. Kisha hivi mwishoni, yamedhihiri mbingunimaradhi ya ukimwi yanayotisha na yanayoua na ambayo virusi vyake huangamiza chombo ngamiza viungo vyake kimoja baada ya cha kinga katika mwili wa binadamu. Kwa hiyo huachengine katika msururu wa maumivu ambayo hakuyajua binadamu hapo awali kabla ya kugunduliwa kwa virusi mwaka 1983. Kama hivi yametokea yaliyosemwa na Mtume (S.A.W). ) ni Mtume wa Mwenyezi Mungu Hivyo hii sio dalili nyengine ya kuwa Muhammad (S.A.W?kweli



Machapisho ya hivi karibuni

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI

KWANINI UISLAMU? UZU ...

KWANINI UISLAMU? UZURI NA FAIDA ZA UISLAMU