Nakala

SWAUM YA ASHURAA.


Amesema Mtume (Swalla Allahu 'alayhi waaalihi wasallam): ((Funga ya siku ya 'Aashuraa, nataraji kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka uliotangulia)) [Muslim]. Sababu Ya Kufunga Siku Ya 'Aashuraa a Allaahu 'anhuma) Imepokelewa na Ibn 'Abbaas (Radhiykasema: "Alielekea Mtume (Swalla Allahu 'alayhi waaalihi w sallam) Madiynah akawaona Mayahudi asema: ((Nini hii?)) wanafunga siku ya 'Aashuraa, ak(yaani kwa nini mnafunga?) Wakasema hii ni siku a Israili njema, hii ni siku Allah Aliyowaokoa Wana wkutokana na adui wao, na Muusa alifunga siku hii. Akasema (Mtume (Swalla Allahu 'alayhi waaalihi wa allam): sa kuliko yinyi)). (Mimi nina haki zaidi juu ya Mus( -Akafunga siku hiyo na akaamrisha ifungwe" [AlBukhariy]. ya kabla yake vilevile Ni vizuri mtu kufunga siku ambayo ni mwezi 9 Muharram na asipojaaliwa basi anaweza kufunga na siku ya baada yake ambayo ni mwezi 11 Muharram. Kwa nini muislamu afunge hivyo?


”Imepokelewa na Ibn 'Abbaas (Radhiya Allahu 'anhuma) lla Allahu 'alayhi wa kasema: "Alipofunga Mtume (Swaaalihi wa sallam) siku ya 'Aashuraa na akaamrisha ifungwe wakasema: Ewe Mtume wa Allah, hii ni siku wanayoitukuza Mayahudi na Manaswara. Akasema Mtume (Swalla Allahu 'alayhi waaalihi wasallam): ga siku ya tisa ((Ikifika mwakani In shaa Allaah tutafunpia)). Akasema (Ibn 'Abbaas) haukufika mwaka uliofuata ila alifariki Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) [Muslim]”. Hivyo ni vizuri muislamu afunge siku mbili ili kutofautiana na mayahudi ambao wanafunga siku moja tu. atuwafikishe kuifunga funga hii na tusamehewe Allahdhambi zetu. Allah ni mjuzi zaidi.



Machapisho ya hivi karibuni

Uislamu Ni dini ya ma ...

Uislamu Ni dini ya maumbile na akili na furaha

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL