Nakala

VIPI TUTA HUISHA UISLAMU


MAPATANO YA UMOJA KATIKA ULIMWENGU WA KIISLAMU


كبف نحيا مسلمين؟ باللغة السواحيلية -


AHADI NA MWENYEZI MUNGU


SISI NI WATOTO WA UISLAMU KATIKA FASI YOTE ARZINI HALI TUNA IJAPOKUWA TUNAACHANA MA NATIONALITE NA MARANGI NA MISEMWA NA TOFAUTI YA KIMAISHA.


*TUNAAMINI HAKIKA HAKUNA MUNGU MWENGINE ISIPOKUWA MWENYEZI MUNGU PEKE YAKE NA HAKIKA MUHAMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU NA WAMWISHO KATIKA MITUME ,NA TUNAAMINI Allah na wamalaika wake ,na vitabu vyake na mitume wake, na siku ya mwisho, na kadara heri na shari.na tunaamini kuwa hakika pepo ni ya kweli na moto ni wa kweli.


*na tunaamini hakika dini ambayo MWENYEZI MUNGU aliituma kwa mitume woote ni wiislamu, ambayo hakubali ALLAH DINI INGINE isiyo kuwa uislamu,na ndiyo dini MENYEZI MUNGU alituma kwa mitume woote tangu ADAM AMANI IWE JUU YAKE mpaka mtume wa mwisho MUHAMMAD sala ya mwenyezi MUNGU NA amani iwe juu yake,na utumwa hakika utumwa kwa watu woote na ujumbe wa uislamu ambao alikuja nao ni utimizi wa mitume woote na muzuunguuko wa kila kitu,na ilikuja kutengeneza yale ambayo iliyo gyeuzwa na watu waliyo tumiwa ujumbe katika vitabu viliyo tumwa mbele.


*na hakika uma wa kiislam ,ndiyo ambao MwenywziMUNGU aliubebesha ujumbe wa kulinganiya watu woote kuingiya katika uislamu,na kusimamisha shariya yake yoote yenye uongofu kwa watu woote.ili itowe watu kutokana na kuabudu watu na udanganyifu wa shaitwani kwa ajili ya kumuabudu Mwenyezi MUNGU peke yake ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa wala HAFANANE na kitu chochote .


*na hakika uyu uma zama ilipwekesha kujuwa ibada ya Mwenyezi Mungu peke yake na ukasimamisha njiya ya uongofu na shariya zake na na wakapikana jihadi katika njiya yake ukweli wa jihadi,akawasibitisha Mwenyezi Mungu katika arzi na akawafunguliya uisilamu mashariki ya arzi na magaribi yake.


Na hakika uma wa kiislamu zama walikata uongofu wa MOLA wao na kukata suns ya mtume wao na wakatuliya kwa ajili ya kupenda duniya na kutamani mali tu na vyeo uwafikiya woga kwa ajili ya kupenda duniya na kuogopa kufa.na basi maadui na wanafiki wakawakanyaga na kuwasambaza kwa siri kisha wamejihirisha wanawamwangiya sumu ya ufarikiyano katikati yawo na mambo ya ukabila na kimazehebu ,na uwasambaziya ufisadi na mafikara yenye kuangamiza.


*na zama uma wa kiislam ulijiweka mbali na umoja wake ambao aliyeamurisha Mwenyezi Mungu kufata ,basi ugawanywa sehemu sehemu katika inchi inchi ndogo nyingi bila kuwa na nguvu na bila kutaka, kiisha uwachukiya kila nguvu ya ukafiri na upotovu wakawaingiliya na vita ya kijeshi na siyasa na kiuchumi ni kifikara.


Kwa ivo basi tume Azimiya tutubu kutokana na yale tuliyokosa na wakakoseya waliyotutanguliya kutokana na umati wetu,basi tuna muaidi Mwenyezi Mungu mtukufu na tumeaidi nafsi zetu na tumeahidi umati wetu na tumeaidi watu woote,tupate kujilazimisha kwa izi mausiyo na malazimisho na tuweke mbele ya macho yetu katika wakati woote mchana woote mpaka usiku ,apate kutusamehe MOLA mwenye nguvu mtukufu baazi ya yale yaliyo pita na atukusanyie razi zake na kutunusuru ..aamiina


JAMBO LA KWANZA: MALAZIMISHO YA MAISHA YA MUISILAMU KILA SIKU


1-KUHUIISHA IMANI KATIKA NYOYO KWA KUMUTUKUZA mwenywzi MUNGU KWA KUOMBA MARFIRA ASUBUHI KAMA VILE JIYONI –NA KATIKA KILA ZAMA-na kumuomba katika zikri na kusoma kur an ambayo yenye usabitisho kutokana na bwana wa mitume ,na kujikurubisha kwa MWENYEZI MUNGU KWA KUSALI SUNA KABKA AO BAADA YA FARIDWA(SALA ZENYE KULAZIMISHWA) kwa uwezo wako .


2-kujilazimisha kwenda miskitini na kujifanya mwenye kujichunga kuizoweya kila sala uwe mwenye unyenyekevu ,na kuifanya misikiti iwe nafasi ya kusoma kur an na elimu za uislamu ,na iwe makutano ya watu wa vijiji mbali mbali,na iwe nafasi kusaidizana na maungano katika kutanduwa matatizo , na kutengeneza hali za watu kimisha na kiafiya na usafi wa makao.


3-kusoma kila siku sehemu katika kur an ,na kujitahidi kuifazi ,pamoja na kutekeleza kufahamu maana yake na kusoma mahukmu zake na kujuwa manafasi ya miujiza yake .


4-kusoma hadisi za mtume na maisha ya bwana wa mitume,na kutumikiya suna zake za ukweli,na kuiuliza kutokana na wanachuoni wa elimu za hadisi piya na vitabu vya sahihi(mfano sahihi Buhari na Muslim)


5-kujilazimisha kuwa namwenendo wa kiislamu wenye marejeleyo kutokana na kitabu na suna ya mtume ,pamoja na kufata maamurisho ya MWENYEZI MUNGU na kujihesabu kinafsi kwanza,na awe kila mmoja wetu kiyongozi mwenyekuwa na uzima kwa watu wa pembeni yake ,na adumu kuwa naswihi kwa mawaiza mazuri.


6-kujichunga katika maadabidisho ya kiislamu katika vitendo na maisha ya kifamiliya(kijamaa):kama vile baba na mama na wake na watoto na wandugu na majerani na wageni ,na katika masiku ya idi na safarini na katika magonjo na katika chakula na vinywaji na vivao na usafi na mambo mengine ya kivinaadamu.


7-kufanya vizuri kazi na kuwa amini katika kazi ,na kuchunga nyakati zake ,na kujitahidi kufaidika na kitu katika kazi kutokana na kujuwa kwa kuona na na namuna ya matumikizi na ile ni kufatana na kudumu katika kusoma na mazowezi ,mpaka ifikiye kuwa ukubwa ni wa waislamu katika kila kitu tuyoishi,na ifikiye watu woote wafate njiya ya MWENYEZIMUNGU BWANA WA ULIMWENGU.


8-kujitoleya mazowezi ya sport kila siku,na kuwa mukatikati katika kutumiya chakula , na kuepuka chakula isikuzuru, na hailingane kula na kunywa sana pamoja na kusimama kwa nguvu katika ibada na piya ni ugumu kufanya kazi vile inastahiki kutokana na usingizi na kitu chochote kinako jaa ijajapokuwa ni halali.


9-ni vizuri kufaidika kutokana na wakati na uspitishe wakati wako katika kutizama machaine ya television ambayo uleta upuuzi katika uma wa kiislamu,na shurli zake ni michezo na machindano na ma film isiyo kuwa na maadabisho na mimbo yenye kumushusha mtu .na sairi na mazungumuzo ya watu ya upuuzi na mechezo pamoja na kuziwiya kununuwa mabande ya upuuzi na kuisambaza kwa watu.


10-*ufate basi mazungumuzo na matheatre za kiislamu kwa vizuri( kusoma majournal,maandishi mbalimbali,kusikiliza maabari katika radio,piya na machaine ya kiislamu)na kuzionesha wazi katika mikawo yenye kutangaza maabari kwa kupiga vita matangazo yenye kupiga vita uislamu na ambayo ina aribu fikara za umati MUHAMMAD S.A.W.:KI ANKIDA(KUMUPWEKESHA MWENYEZI MUNGU,),KUARIBU TAREHE YA UISLAMU,AO KISIYASA,ao kuaribu maisha ya kijamaa kati ya waislamu,ao maaribifo kitabiya)


JAMBO LA PILI:KATIKA KUSOMA NA KIELIMU:


11-Kujiimiza kusoma misingi ya uislamu kujuwa ankida,mipango za ibada,na mwenendo muzuri,na vie social(baina ya watu)na kujiimiza kusomesha watu wenye pembeni zetu,na kulinganiya watu tunawo wajuwa na majerani kwa kuwafunza kiisha kujilazimisha watu kuzidisha elimu umoja umoja ao kwa uwingi katika manyumbani ao miskitini.


12-kutewmbeya kwa ajili ya huisha masomo ya uislamu kama vile ndiyo njiya ya msingi katika kila niveau ya masomo na ,na kusaidizana kielimu kwa ajili ya kufanya vizuri kufikishiya watu ujuzi na kimalezi.


13-kutekeleza kusoma na kufundisha luga ya kiarabu katika niveau zote za masomo katika kila inchi upatikana waislamu,kwa kuwa ndiyo njiya kwa mfano wake mtu anaweza kufahamu uwazi kur an na kufikiya kujuwa miujiza ya kur an ,na kufahamu ukweli mahukmu zake na misimamo yake.


14-hapana kutegemeya kutokana mazehebu yoyote ya fikhi,na ukweli wa muislamu mwenye hakusoma saana arejeye kwa mwalimu wake,ao imamu wa muskiti wake ao kwenye marejeleo yenye kujulikana (ya kweli),ama mutu ambaye aliye soma kiwango kikubwa katika maelimu za dini basi atachaguwa rai yenye kuwa bora kwa kutegemeya madalili na maneno ya wanachuoni na achuguwe kwa yale ambao anaona elimu yake imetuliya na awe mbali kufata matamanivu .


15-kusaidiya yeyote ule ambaye ametumika katika njiya ya kulinganiya watu na kuwaamurisha wema na kutumika kazi ambayo inanufaisha watu woote,wala tusipendeleye gundi ao jamaa kinyume na wengine ,basi tukafanya ivo tuta aribu juhudi zetu na tutasambaza uma wa kiislamu.


16-tuwe na angalisho ,na kuzinduwa waislamu woote kunako upotovu ambao waliodanganyina –katika ujinga ao kudanganyika-wailamu wengi wapo katika kwenda kinyume na ukweli piya na kuzusha,kama vile uchawe na lamudi na kutafuta baraka kwenye makaburi ,na vinginevyo kutokana na upotevu.


17-kuwatimiziya watu marejeleyo kielimu piya na ki technologie kwa kufata maendeleyo ya ulimwenguni na piya kuwasambaziya maelezo kwa kifupi na kwakuwafaamisha maana yake kwa luga zao kutokana na wale watu wenye kuwa na ujuzi wa zile lugu.


Na mazungumuzo ni yenye kuendeleya kufatana na mipango ya za kielimu.na kufanya utafiti wa kielimu kwa ukamilifu kwa kusaidiya uma wa kiislamu,ama ilimu ya ki social baSI ATEGEMEYE kutokana na misingi za elimu ya kiislamu,bila kuwafata ba orientaliste(watu wakimashariki)ao wanafunzi wao miyongoni mwa watu wenye kufunza elimu zisiyo kuwa za dini.


18-kuchunguza ma organisme ya kielimu na mafunza ya watu wa magaribi(waeuropeens)(wanafunzi wao,wanachuoni wao ,na na ma organisme yao isiyo kuwa na lengo nzuri katika miji ya waislamu )kwa kusambaza mamazehebu yao na mafuhumu yenye makosa na yenye kupoteza,na kuwaangalisha waislamu kutokana na mambo ambayo ni uwaribifu na upotovu ,na ubadirisho wa ukweli wa uislamu na historia ya huu umat MHAMMAD amani na rehma za ALLAH ZIWE JUU YAKE.


NA JAMBO LA TATU:KATIKA KUWAFIKISHIYA WATU MANENO YA mwenyezi MUNGU NA KUWALINGANIYA


19-uma wa kiislamu ni lazima kwao kuwa imara kwa kulinganiya watu kwa ajili ya kuziwiya kusambaa madini ya ovyo isiyo kuwa uislamu nayo ndiyo kazi ambayo wamelazimishwa lakini basi wameacha kwa muda murefu,na kufikishiya watu malinganio ya uislamu katika sura ya kukinaisha na wazi bila kurudiya tena nyuma ao kujivuruga na iwe ulingano kwa kila mutu katika hii arzi sawa wawe watu wa kitabu mayahudi ,manaswara,ao ma buzi,ao ma hindusi ao wamishirikina.


20-responsabilite ya kulinganiya watu uislamu ni kwa juu ya kila muislamu katika mwisho wa ujuzi wake na uwezo wake(ambaye alazimishwa kuongeza ujuzi daima),na hayo ni mapasho kwa kila mutu kufikishiya watu uislamu kwa kila mtu anaye kutana naye ao anazoweyana naye ao ana ishi naye wasiyo kuwa waisilamu,sawasawa iko katika safarini na anaishi katika manyumba yao ao wamekuja kutembeleya makao ya waislamu ki tourisme ao kazi.


21-kuji imiza sana kufasiria watu maelezo ya ulinganio(maandishi,vitabu,na vinginevyo myongoni mwa masomo ya kujulisha watu)kwa kila luga yenye kuzungumuzwa,na wale wanao fasiri na kutangaza wawe na ujuzi wa juu kwa yale wanayo yafanya.na kusaidiya ki mali kwa kutayarisha izi masomo na kuzitangaza na kuzigawanya,kama vile ku imprimer ao ku enregistrer ao katika internet.


22-ulinganiyo na kutumika katika manjiya ya usalama ili iwe kila mipango na makanuni iwe yenye kujulikana katika miji yoote ya waisilamu na iwe yenye kutegemeya katika sheriya za kiislamu,na kufuta kila kyenye kuwa kinyume ya sheriya.


23-na iwe katika kuhukumu inchi ya kiislamu kwa ujumla kila nafasi mbalimbali –katika pande zote ulimwenguni-kwa kupitiya uchaguzi wa uhuru baina ya watu watakao chaguliwa .


24-kuonyana na kushauriyana baina ya wasimamizi wa mambo ya waislamu na kuwatii isiyo kuwa maasi,na kuwapa nguvu ikiwa wanapiganiya kunusuru uislamu na kusimamisha shariya ya MWENYEZI MUNGU na umoja wa umat wa kiislamu na nguvu yake,na kuwanasihi kwa hikima na mawaiza nzuri ikiwa watazarau hayo.


25- mahakimu wawe mbali kutokana na kila sura ya riya na kumiliki mali na kila kitu katika hukmu,na kuzibiti manafasi yoote na ma organisation na ma festivals ya unafiki,ambao uzunguukiwa ndani mwake kwa ajili ya kuzulumu na ufisadi.


26-kushikamana kwa kupata uhuru wa kuzungumuza kwa kila sura zake kwa kila mtu na kila kikundi ,na kutumikiya kusafisha makanuni kutokana na kila kitu kyenye kuzuwiya uhuru wa watu na uondowa karama za watu,na na hii makanuni iyeshimu matakiyo ya watu (vile watu wana penda)na iwe mambo katika kushauriyana katika mipango za sheriya ya MWENYEZI MUNGU.


27-KUSAIDIYANA kwa kila njiya kikanuni, na kimaelezo kwa ku liberer wanachuoni na watu wa fikara na wenye kulinganiya watu na wenyw kushikamana na dini na watu wao myongoni mwa watu upatwa na magumu katika miji mingi katika majela bila kuwahukumu (bila kosa)na kubanwa na kuwa azibu na kuwatiya katika sura mbaya.


YA INE –JAMBO KUHUSU MALI NA MAKAZI


28-KUHAKIKISHA NAMUNA YA HISABU YA MALI YA ZAKKA AMBAYO ULAZIMISHWA KWA MUISLAMU –kuanziya chini-,na kupupiya kulipa bila kuchelewesha ,na piya kutowa sadaka kwa uwezesho wowote ule kutokana na mali na dawa na chakula na viandalizi na vinginevyo ,


29-utolewa mali ya zakka mwanzoni na kufanya uzuri kuigawa,sawa iwe watu mbali mbali ao ma organisation ya heri ao mahukuma yenye na uadilifu kwa kuigawanya,na kuitumikisha kwa ajili ya kutengeneza benki ya mali za waislamu moja katika umati.


30-kuongoza namuna ya matumizi kwa uchache myongoni mwa vitu vyenye kuitajika saana na kidogo kwa watu wenye kuwa vizuri (wenye kuwa na uwezo)hasa katika bei nzuri kwa vitu ambao utegemewa katika kupatikana kwake isipokuwa katika miji isiyokuwa ya waisilamu.


31-kujizoweza kuwa natumika pamoja na mabenki ya kiislamu ,na kuitembeleya kwa kuizidisha na kuifanyia matawa yake kwa ajili ya kupiga vita mabenki yenyi kutumikisha riba.


32-kufunza watu wa nyumbani na umat wa kiislamu uharamu na hatari ya kuwa pamoja na ma benki ambayo utumia riba na mabenki ya etrange.


33-kujitahidi kwa uwezo wa kiasi juu ya kuwekesha na ku investir mamali katika miji na mabenki ya kiislamu,na kuzuwiya kuipeleka katika mabenki ya miji ambayo ina uaduyi na uislamu na waislamu.


34-kwa wafanya biyashara na watu wenye kuwa na makazi ya vyashara:kujiimiza juu ya kufunguwa masoko na kutiya masikilizano na ma projet(mipango kwa kuanzisha kazi) pamoja na miji ya ulimwengu wa kiislamu na ma organisation yenye kupatikana kila nafasi.


35-kuimiza na kuraisisha hali ya wafanya kazi na ya wajuzi wa kazi na ma projet na misingi ya mali za kazi –kufatana na masikilizano ya kufanya vyashara viwe uhuru kwa kuuzushiyana-katika miji ya kiislamu kuliko wengine ,na kutembeleyana kwa ajili kusaidizana kisha kufanya uchume uwe umoja.


36-kuimiza thourisme( matembezi)ya waislamu katika miji yao ,pamoja na kufata adabu za kiislamu katika sehemu za matembeleyo na kuwandaa masomo yenye kulinganiya watu uislamu na kufahamisha uislamu kwa watu wenye kutembelea thourisme nawo ni wageni wamekuja kutembeleya miji yetu.


37-kujiepusha kutowa pesa mingi katika safari katika kukaa katika miji isiyo kuwa ya kiislamu kwa kiasi isipokuwa kwa zarura kutokana na kusoma ao vitu muhimu vyenye kunufaisha kwa ajili ya uma wa kiislamu.


38-masikilizano ya ki afiya kwa kuimiza kutunzwa katika miji ya ulimwengu wa kiislamu ku mikono ya waganga wa miji ya kiislamu ,na kusaidiya kutunza mafakiri na kuwatimiziya madawa yenye kuitajika kwa raiya wote na watu wenye kuishi ndani.


39-kukata vyashara vyenye kuja kutoka katika ma inchi yenye kuwa na uwaduyi na uislamu na waislamu –isipokuwa kwa zarura ,na tuwe nanunuwa vyashara utengenezwa katika miji yetu –ijapokuwa kwa beyi ngumu –ma dama utekeleza hali ambayo watu wanaitajiya ,na kuzijulishisha na kueleza watu ubora wake kwa watu woote piya na ma organisme kupitiya manjiya ya information na matangazo.


YA TANO:KATIKA UMMOJA WA UMMA WA KIISLAMU


40-kulinganiya na kutembeya na kutumika kwa ajili ya kusibitisha imani kwa kurejesha umoja wa kiislamu ,na hayo ni kupitiya:mipango ya mafunzo katika masomo ,na kupitiya katika vyombo vya habari ,na juu ya ma mimbari ya kulinganiya uislamu ,na maonyo kila siku katika umma wa kiislamu: kuwa umoja,na kurudiya kwenye uhaki ,na kumunusuru MWENYEZI MUNGU (dini yake)


41-na kuwa na mahabari kila siku kwa yale inayo pitikana katika ulimwengu wa kiislamu ,na manafasi ambao waislamu ni wadogo kupitiya katika misingi ya vyombo vya mahabari ya kiislamu yenye kuwa uraisi(kwa wepesi)na kusomeya hali ya umat wa kiislamu kwa kutizama mafamiliya ,na majerani na marafiki.


42-kupupiya kuwa na usiliyano na waislamu katika kila nafasi kwa kupitiya luga nyingi ambayo ni uraisi kwa waislamu kuusiliyana kwayo,na kukutana katika mazowezi ya kijamaa kama vile mazungumuzo katika internet na mikusanyiko na mashindano katika elimu mbalimbali.


43-kuziwiya kwa nguvu mambo yoote ambayo utangazwa kuzunguukiya ki siyasa na habari yenye kuwa ni uwaduyi katika uislamu kutokana na fitna na wongo kwa kusababisha kuchukiyana na karaha kati ya waisilamu ,ao kuwaweka katika umasikini na ujinga kwa ajili ya kuwafanya wawe wakristu na kuweka fitna katika dini.


44-masaidizo yenye kuendeleya kwenye miji ambayo waiskamu ni wadogo mafakiri wenye kubanwa na wenye kuzuwiliwa haki zao kwa nguvu na mavita ,na ipatikane njiya ya kuwafikishiya misaada


,na kufanya kuanzisha masanduku kwa kulazimisha hayo kupitiya ma organisations yenye kutambulikana na ya kikaaji.


45-kuishi vizuri na watu ambao siyo waisilamu nawo ni wachache katika miji ya kiislamu na kuwapenda,na uwadilifu katika haki zao na mapashwa yao myongoni mwa wakaaji woote wanahaki sawa vile sisi na wana ubaya sawa vile sisi(hukmu ziwe sawa sawa),na kuchunga damu zao na karama zawo na mali zawo,na bila kuwaziwiya uhuru wao kwa ukamilifu katika mipango yao ya dini.


46-kusaidiya haraka makarisa na matatizo ambayo ufikiwa waislamu kwa kutowa missaada ya vitu na kuwatizama ,na kuwapa angalisho kwayo na kwausiya kwa kushirikiyana waislamu woote kwa matatizo kama vile hii,na kudumisha kutowa masaada kwa kila mara kama kunatokeya hali kama hii mpaka itakapo ondoka hii matatizo.


47- kutembeleyana na kusaidizana na kutowa fikra na mali na ijitihada katika umat wa kiislamu kwa ajili ya kumiliki masababu yoote yenye kuleta nguvu katika uislamu kiduniyani na kitechnique na ki askari ,na kugombowa udongo wa waisilamu na kuchunga na kupigana na kila yule anapenda kuiba (kuinyanganya)Hali ya uwadui.


48-kusaidiyana nusra kwa ajili ya kugombowa waislamu wawe uhuru na manyumba zao kutokana na kubanwa ambao uingiliwa na kila maadui wa kiislamu tangu mwanzo wake.na ufikiyikiliya mwisho hivi sasa,na hayo kwa ajili ya kujitoleya kupigania kinafsi na ki mali na ki silaha na kubadirishana mawazo na kutegemeleyana ki siyasa na kupezana ma habari na kuhusiyana kuomba maduwa katika kila sala .


49-kukatana na ma uma na mahukuma ambayo inafanya uadui na uislamu ,ambao kazi yao kupiga vita waislamu katika dini yao na mazungumuzo yao,na kuwafarikisha ummoja wao kwa kuwafanyia sumu kati yao na kuwafanyia vibaraka kati yao,na kugeuza kinyume na umoja wao,na kufanya mipango ya kuwatowa kunako manyumbani yao ao kuwazunguuka,ao wenye kusaidiya maadui wao kwa mali na silaha na kuwasaidiya katika kimataifa.


50-na kusimamiya kila sura ya umoja wa kiaskari pamoja na izi inchi zoote za uadui ao zenye kusaidiya maadui –sawa iwe makambi ya ki askari (wasoda)ao kuwaraisishiya vita ao kuwaraisishiya mahabari kwa kuangamiza waislamu na vinginevyo.



Machapisho ya hivi karibuni

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI

KWANINI UISLAMU? UZU ...

KWANINI UISLAMU? UZURI NA FAIDA ZA UISLAMU