Nakala

Uislamu inamuagiza mwanadamu kutumia nguvu ya akili yake na uchunguzi.  Katika miaka michache ya kuenea kwa Uislamu, ustaarabu mkubwa na vyuo vikuu vilishamiri.  Mchanganyiko wa mawazo ya Mashariki na Magharibi, na mawazo mapya yakiwa na yale ya  zamani,yalileta maendeleo makubwa katika madawa, hesabati, fizikia, unajimu, jiografia, usanifu, sanaa, fasihi, na historia.  Mifumo mingi muhimu, kama vile algebra, namba za kiarabu, na wazo la sifuri (muhimu katika hisabati ya juu), ilipitishwa Ulaya ya enzi za kati kutoka katika ulimwengu wa Kiislamu.  Vyombo vya kisasa ambavyo vilifanikisha safari za kigunduzi za vyombo vya Ulaya, kama vile astrolabu, roboduara, na ramani nzuri za kusafiria, pia zilitengenezwa na Waislamu.





     Astrolabu: Moja ya kifaa muhimu cha kisayansi kilichotengenezwa na Waislamu ambacho pia kilitumiwa sana Magharibi hadi zama za kisasa.





Madaktari wa Kiislamu walikuwa makini katika upasuaji na kutengeneza vifaa vingi vya upasuaji kama inavyoonekana kwenye andiko hili la zamani.



Machapisho ya hivi karibuni

UJUMBE KUTOKA KWA MUH ...

UJUMBE KUTOKA KWA MUHUBIRI MUISLAMU KWA MKRISTO

FADHILA YA KUFUNGA SI ...

FADHILA YA KUFUNGA SIKU SITA ZA SHAWAL

Masuala kumi muhimu n ...

Masuala kumi muhimu na mafupi kuhusu mwezi wa Muharram

UJUMBE KWA ALIYEICHOM ...

UJUMBE KWA ALIYEICHOMA KURANI